Ngo'mbe 20 kutua Tanzania leo

Ngo'mbe 20 kutua Tanzania leo

Ukweli ni kwamba technologia imebadilika sana muhimu ni kwamba, hakuna sababu ya kusafirisha ngo'mbe kwa ajil ya bwana mkubwa zaidi ni ubinafsi na ulimbukeni.Kama amevutiwa na breed ya Botswana angemuagiza waziri wa mifugo kutuma wataalam wa uzalishaji kwa ajili ya mafunzo na baadae kuleta aina hiyo kuineza kwa waTz.Kama amechukua ng'ombe hao 40 kwa ajili ya vituo vya uzalishaji kama Kitulo,Arusha au Kongwa ili wananchi wapate mbegu hizo baadae well and good ,lakini kama ni kwa uzalisahji kwenye shamba lake huko Msata au Msoga ni ubinafsi tu.
 
point ya muhimu sana
 
Juzi juzi nimetoka bagamoyo kutembea tembea maeneo ya kiwangwa, nikaoneshwa shamba la kikwete la ekari elfu 4. Labda ng'ombe watapelekwa huko
 
Hawa wanaitwa Bonsmara wanafika mpaka kilo 2000 mmoja.ndio Ngombe waliopo nchi karibuni zote huku Kusini,asili yake ni South Africa.JK awezi pandisha Vijingombe kama hivi vya hapa kwetu Dumila vyenye kilo 50 kwa ndege.
 
Attachments

  • 2697_Bonsmara-1.gif
    2697_Bonsmara-1.gif
    32 KB · Views: 72
Vipi kama angebeba ng`ombe wetu akapeleka kufugia Botswana tungesemaje? Yaweza kuwa ni breed ambayo kwa sasa Tz haipo. Alipoletwa ng`ombe wa kilo 800 huko nyuma tulishangaa kwa vile hatukuwahi kuwaona ( sisi wafugaji). Sasa kama kuna ng`ombe bora zaidi ya hawa waliopo,bora alete ili wengine tujifunzie shambani kwake.
 
Jana tumetangaziwa hapa Botswana kuwa Ng'ombe 20 mali ya rais wa Jamuhuri ya Tanzania zitaondoka leo kuelekea Tanzania,Rais Kikwete alinunua NG'Ombe 10 alipokuja hapa mwezi wa tatu kushiriki sherehe ya miaka 50 ya chama tawala,ng'ombe wengine 10 alipewa zawadi na Rais Khama wa Botswana,imebidi taarifa itolewe kwenye vyombo vya habari ili wananchi waweze kuelewa nini kinaendelea kwenye tukio zima,Rais Khama ametoa maelezo yake kuwa ng'ombe wake aliotoa zawadi ni mali yake aliyoachiwa urithi na wazazi wake,tunafurahi sana kuona viongozi wetu wa africa wakiweka wazi mambo yote yanayowahusu ili kuondoa matatizo ya kutiliwa shaka
Labda kwa Khama kufanya hivyo na mwenzie atajifunza kuweka mambo wazi!.
 
Hawa wanaitwa Bonsmara wanafika mpaka kilo 2000 mmoja.ndio Ngombe waliopo nchi karibuni zote huku Kusini,asili yake ni South Africa.JK awezi pandisha Vijingombe kama hivi vya hapa kwetu Dumila vyenye kilo 50 kwa ndege.
Ndugu ng'ombe wa kilo 50 mbona ni mbuzi huyo labda ndama!. Hata aliokuwa akifuga babu yangu (walioitwa wa-kishenzi) walikuwa wanafikisaha kilo 200. Anaofuga kaka yangu huko kijijini (wa-kisasa) kwa leo wanafikisha 500+ na hii ni kutokana na mazingira waliyomo wangekuwa na uzito zaidi!.
Hiyo aina ya ng'ombe mnaofuga huko kwenu ni DWARF
 
Back
Top Bottom