Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Ni unyago hasaa dada. Wakati huo akifunzwa ama mwari au bi harusi mtarajiwa namna ya "kuishika" ndoa isiteterekeNi kama unyago kaka??
Labda alipoona limekwisha hakutaka akaona haiana tena haja ya kunambia na mimi nimefurahi kama ni hivyoHahahahhaha anatakiwa asimamie ahad zake s unajua kaka??? Ukisema utakuja uje kweli sio wasema waja halaf jkazama mazima na tarifa usitoe sio vizur kaka angu ngoja aje hapa
Tanga siijui vizuri mimi mgeni.Kufanyaje kukatika au??? Kigombe???? Naipata hicho kitongoji kipo upande upi? Je huku baharini au kwa juu
mimi hata sjui halaf pia zamani bibi harusi mtarajiwa hukaa kwa kungwi hata mwezi siku hizi wiki moja no wonder hata hizo ndoa hazidum japo mtu hutoka na tabia kwaoNi unyago hasaa dada. Wakati huo akifunzwa ama mwari au bi harusi mtarajiwa namna ya "kuishika" ndoa isitetereke
Tatizo langu liko hapoo kwamba hata hao wazee wa zamani walikua wakiwashirikisha mashoga sijui walikua na mpango gani nao!!?
Tanga siijui vizuri mimi mgeni.
Sijawahi kufika hata mara 1
Labda alipoona limekwisha hakutaka akaona haiana tena haja ya kunambia na mimi nimefurahi kama ni hivyo
Pongwe hadi Maranzara bila kusahau KismatuiPongwe pia goi linafanyika kila mwaka
Nilihadithiwa na rafiki yangu, habari za tanga. Pia kuna babu ananitumiaga dawa za mvuto kutoka tanga, yani mrembo akiniona tu ananiambia "I love you " bila kumtongozaUnaniongopea, kigombe umeijuaje goi za msambweni umezijuaje
Nakwambia ngoja aje navokatesa katoto cha watu had kananipa huruma hahaha
😀😀😀Nilihadithiwa na rafiki yangu, habari za tanga. Pia kuna babu ananitumiaga dawa za mvuto kutoka tanga, yani mrembo akiniona tu ananiambia "I love you " bila kumtongoza
Endelea mbele ufike jaribu tena, marungu mpaka mlima wa kirare.Pongwe hadi Maranzara bila kusahau Kismatui
Duu kweli?wale waanaumr kama mabinti mkuu
Hahahaaa ngoja na mimi nisome google map kama ntaweza kupaona Mwambani kwa kina Omar Yanga na Mzee MakalloEndelea mbele ufike jaribu tena, marungu mpaka mlima wa kirare.
Au rudi kuanzia saruji, rozmini, maweni, kange..
Mimi sijawahi kufika tanga, sema nasoma google map hapa kutambua hayo maeneo
Ulipoanza maranzara, nilijua utapitia maeneo ya basi na kifumbini, rudi nyuma mpaka migombani mpaka utokee dumizi au utashuka kushoto kuelekea machinjioni kupitia soko mjinga mpaka kanisani kwa masista.Hahahaaa ngoja na mimi nisome google map kama ntaweza kupaona Mwambani kwa kina Omar Yanga na Mzee Makallo
ndio mkuuDuu kweli?
hahhaa sikuaminiEndelea mbele ufike jaribu tena, marungu mpaka mlima wa kirare.
Au rudi kuanzia saruji, rozmini, maweni, kange..
Mimi sijawahi kufika tanga, sema nasoma google map hapa kutambua hayo maeneo