Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Angalia usije ukapandisha jini Maimuna dadaπππkuna ile shetani anataja jina nayo inakuaje?? Mimi haya mambo mekuja yaona huku tanga, karibu waganga wengi hufanya hivi hizi ngoma huku n maarufu sana na zile nai zikipulizwa mm zinanikera sana saa zingine hakuja kucha unazisikia ni kazi jaman mambo mengine
unatumia namba ipi sasa mana nina zile zile za mwwnzo?? Na unavokupenda kwa kina mwanatiti shaur zakohizo ngoma ni upuuzi mtupu.
Hebu nitafute kwa mobile.
hapana sidhani kama ni hivyo kaka, hua sjui wanazipuliza aje hata kama nimelala ole sauti yake hunifikia masikioni kabisa, huyo mama nakaa naye jiran mno saa zingine adhana ya kwanza unazisikia najiuliza hawalali? Hawachoki?? Zikianzwa saa kumi tena jion mpaka saa tano huko hivi wanalipwa?Angalia usije ukapandisha jini Maimuna dadaπππ
Maana zile harufu ukianza kusikia zinakukera hua ndio chanzo cha kua "Kiti"
Pmunatumia namba ipi sasa mana nina zile zile za mwwnzo?? Na unavokupenda kwa kina mwanatiti shaur zako
Lazima watakua wanalipwa maana kwao si ndio kazi ya kuwaingizia kipato sasahapana sidhani kama ni hivyo kaka, hua sjui wanazipuliza aje hata kama nimelala ole sauti yake hunifikia masikioni kabisa, huyo mama nakaa naye jiran mno saa zingine adhana ya kwanza unazisikia najiuliza hawalali? Hawachoki?? Zikianzwa saa kumi tena jion mpaka saa tano huko hivi wanalipwa?
Lazima watakua wanalipwa maana kwao si ndio kazi ya kuwaingizia kipato sasa
Hahaha Mungu Atakunusuru dada yatakupitia kwa mbali Inshaallah
Pesa nyingi sana zinateketea kwenye mambo haya, natamani mtu aliyewahi kupitia huko alete uzoefu wake ashee na sisi kama kuna faida yoyote aliyowahi kuipata kwa kushiriki mambo hayoAaamin inshallah, bas wanakula pesa ndef sana, najaribu kuimagine zile siku wanapiga mbuzi au wale wanyama wanachinja kulisha umati wote ule mh watu wanapesa.
Hizo ngoma ni maarufu kwenye mikoa kama ya Tanga, Kigoma, Tabora, Mwanza na Dar na utashangaa kuna hata wasomi na watu wenye exposure huwa wanashiriki
Miye sijambo pia namshukuru Mola
Unajua ile wanafanya zaidi kwa wapendwa wao waliotangulia mbele ya hakikuna ile shetani anataja jina nayo inakuaje?? Mimi haya mambo mekuja yaona huku tanga, karibu waganga wengi hufanya hivi hizi ngoma huku n maarufu sana na zile nai zikipulizwa mm zinanikera sana saa zingine hakuja kucha unazisikia ni kazi jaman mambo mengine
πππAlafu wakati nikishuhudia yote hayo wala siku napata woga hata chembe, najisemea tu watu na mambo yao na nafanya yangu na mimi sio mtu wa mambo ya kishirikina kabisa
Kila mtu ameshajua kwa sasa hata mimi now days siamini hizo mambohizo ngoma ni upuuzi mtupu.
Hebu nitafute kwa mobile.
Ndiyo wanalipwaLazima watakua wanalipwa maana kwao si ndio kazi ya kuwaingizia kipato sasa
Hahaha Mungu Atakunusuru dada yatakupitia kwa mbali Inshaallah
Hata pale Magaoni Tairi 3 alikuwepo mdogo wangu aliugua mashetani tukafanya hayo mambo kuku wa kutosha tukawachinja ila sikula hata mmojaAaamin inshallah, bas wanakula pesa ndef sana, najaribu kuimagine zile siku wanapiga mbuzi au wale wanyama wanachinja kulisha umati wote ule mh watu wanapesa.
Unajua ile wanafanya zaidi kwa wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki
Kwa baadhi ya rika kama wazee huwa walikuwa wanafanya kitu wasambaa waliita "Huto" kwa kigezo kwamba wanawajia ndotoni (jinamizi) na waweza kuta mtu anatamka akiwa hai kuwa nikifa mnifanyie hizo tambiko wasambaa waliita "Fikah" na kuaminishwa kwamba usipofanya yatakutokea mambo ya ajabu sana na ndo maana wakifanya wanataja na majina
Terminology used
Fikah - Ngoma za asili zinanzofanywa ili kumuenzi mtu aliyefariki hizi hupigwa kwa vigongo
Huto - Ibada za kuabudu mizimu hutumika kuwachapa wanyama kwa majani kisha kumchinja na kula nyama yake
kwa nini hukula mkuu??? Je alipona?Hata pale Magaoni Tairi 3 alikuwepo mdogo wangu aliugua mashetani tukafanya hayo mambo kuku wa kutosha tukawachinja ila sikula hata mmoja
hahaha kwa maisha haya si mchezo ndio mana watu wengi wa mji huu hasa wazawa hawaendelei kwa mambo kama hayaPesa nyingi sana zinateketea kwenye mambo haya, natamani mtu aliyewahi kupitia huko alete uzoefu wake ashee na sisi kama kuna faida yoyote aliyowahi kuipata kwa kushiriki mambo hayo
...alitupiwa jini baada ya kuchumbiwa na mkaka mmoja (alikuwa anaishi Msambweni) na akamkataa yule akamwambia utanijua mimi nanikwa nini hukula mkuu??? Je alipona?
Na kiendacho kwa mganga hakirudi, upone au usiponeπππNdiyo wanalipwa