Ngoma za mashetani

Dah mkuu! Mlikua mnajipigia ile mikate ya kumimina na tende na haluaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Yaani kisha hamkudhurika wala nini, badala yake mlijiongezea afya tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Na mpaka leo twadunda. Siku hizi naona wanaweka chano cha mkate wa majivu.
Kwa zamani ilikuwa pia njia ya kuonyesha uwezo maana ngoma hizi ni ghali sana ndio maana zimepungua kwa kuwa uchumi umeyumba.
 
Na mpaka leo twadunda. Siku hizi naona wanaweka chano cha mkate wa majivu.
Kwa zamani ilikuwa pia njia ya kuonyesha uwezo maana ngoma hizi ni ghali sana ndio maana zimepungua kwa kuwa uchumi umeyumba.
Ndio hapo sasa ujiulize kama zilikua zinasaidia kuongeza kipato kwa njia za kiimani mbona siku hizi wameacha sababu ya bajeti na vyuma kukaza? Si hayo mashetani yangekua yanaleta?
 
Hii nayo iwe ni moja ya vivutio vya utalii
 
aisee nimeona aibu wallah, huyu n jirani yangu bana tunakua tunapishana tu
archduke mwambie asiwe na wasiwasi, mimi ni jirani ni kuwa hatujawahi kutana. Nipo hapa kwa ngoma zetu. Kibao sijamuona nadhani amesafiri. mambo moto mot, vimbuzi, vikuku, ngombe etc vinachinjwa chekwa chekwa. Lakini pia wamama warembo wapo, sio utani. Wengin wanatafuta kuondolewa mashetani yanayowaletea mikosi kukosa wachumba/wapenzi and the like. Wananiambia wazi wazi!
 
Hahahawewe utaondoka nayo hapo, kumbe kibao hayupo mpungaji ni nani sasa
 
Wanawapunga mashetani, yani wanawapunguza hasira za kuwapelekesha kiti.
 
wanaitwa Psychics, hutumika sana India wa design iyo
 
Mambo yenyewe ndo kama hayo ukifika pale unahisi nywele kuwasha
 

Attachments

  • FB_IMG_1537714789933.jpeg
    43.5 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…