Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,652
- 19,340
Umeniacha hoi sana mkuu😀😀😀Ulipoanza maranzara, nilijua utapitia maeneo ya basi na kifumbini, rudi nyuma mpaka migombani mpaka utokee dumizi au utashuka kushoto kuelekea machinjioni kupitia soko mjinga mpaka kanisani kwa masista.
Mkuu google map inasaidia sana[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeniacha hoi sana mkuu😀😀😀
Najua hujawahi fika kabisaa huko ila umepajua kwa hisani ya gugo mapu😀😀😀
hii ni ruhusu unajua bwana shemejiSiku mojamoja akiwa anakupatia vimakofi viwili vitatu vyepesi nitakua nampa sheria yeye wakati ukileta kesi, sio kwa kumuonea huko aisee😀😀😀
Hizo huku kwetu zinaitwa Ngoma za Vibuki.hahaha huyo mama mtaani kwangu ni maarufu kwa hizo ngoma
Na sjui why zinajaaga mashoga ndio wachezaji
Me sjambo kaka angu hofu kwako
Wikiendi iko poa kabisa bwana shemejibwana shemeji umeniwahi kuuliza hili swali
kwanza, samahani bwana kwa kutokupa taarifa ila nilichokuahidi ndicho nilichotekeleza
heshima yako bwana shemeji, habari za wikiend?
Wapi huko mkuu?Hizo huku kwetu zinaitwa Ngoma za Vibuki.
hapana muda ulikuwa bado si unaona ushanianzishia mapya hapasaa hizi had ukupurushwe beb
Hizo huku kwetu zinaitwa Ngoma za Vibuki.
endelea tu usijali babyaisee nimeona aibu wallah, huyu n jirani yangu bana tunakua tunapishana tu
Makofi mepesi lakini shemeji sio yale ya kiafande afandehii ni ruhusu unajua bwana shemeji
nimeikubali mimi
muda haukungoji wajua?? Hahahaha usiniulize nachochekahapana muda ulikuwa bado si unaona ushanianzishia mapya hapa
hii ni ruhusu unajua bwana shemeji
nimeikubali mimi
Zanzibar Mkuu,sijawa na elimu nayo haya maswala ila hizo ngoma hukuemo sana mashoga na wasakaji kidogo hivi karibuni zimepungua.Wapi huko mkuu?
aiseeMakofi mepesi lakini shemeji sio yale ya kiafande afande
asante sana bwana shemeji....tufurahi soteWikiendi iko poa kabisa bwana shemeji
Mimi nimefurahi kua hukuleta longolongo, uliahidi utayamaliza na kweli ukafanya hivyo, hongera sana
Kuhusu kutonipa feedback usijali sana maadam yamekwisha basi mimi nimefurahi
sawa bwana shemeji nimekuelewaMakofi mepesi lakini shemeji sio yale ya kiafande afande
nimeelewa lakinimuda haukungoji wajua?? Hahahaha usiniulize nachocheka
Yupo Tanga? Huyu Mzee Makallo ana watoto mabinti zake kina Saida na Barke ni maarufu pia pande hizokuna mtu anaitwa mohammed makalo me ndio namfaham
kwanza nilikuwa back bencher nadhani unaelewa sifa zetu wazee wa backNwanae anaenyanyua mkono wake kumpiga mwanamke hata darasani hakuwah nyanyua mkono akajibu swali, nasubiri utekelezaji wa hiyo ruhusa.