Ngoma ya R. Kelly: God protect Ibrahim Traore

Ngoma ya R. Kelly: God protect Ibrahim Traore

YouTube kumejaa AI videos za Traore!

Ukitaka kuona ujinga wa watu, ingia kwenye comment section!
Kilichopo ni trend imetokea ya huyo rais Traore, ni kama vita ya Hamas na IDF youtube ziliwekwa hadi videos za video games na AI...

Kinachotokea content creators wanafanya kila wawezalo videos zao zipate views, na mara nyingi hawa ni vijana wa kiafrika iwe west Africa, East Africa n.k, wote hao wanatengeneza hizo content kupata views..

Hio ni trend kwa sasa , itapita, itakuja trend nyingine itapita..
 
💯%.
 
Huko mbele tena maLIJENDI ndio itakuwa pona yetu, imavuja video unamsukumia mtu UKUNI, unajikaba unaisingizia AI, ndoa inabaki salama 😂🤣
teknolojia nyingi ikiwa ni pamoja na Artificial Intelligence zilianza kutumika kwa siri au ndani ya mashirika maalum kama jeshi, serikali, mashirika ya ujasusi, na makampuni makubwa kabla ya kuja kuwa public.

Hollywood wameitumia sana AI hapo nyuma, kipindi hiko ilikuwa ghali sana kuanzia softwares zake hadi hardwares walizotumia..

Serikali nyingi za nje EU, US, Asia zilikuwa zinatumia AI kwa ajenda nyeti, hivyo hazikuitangaza wala kuiachia kwa matumizi ya umma...

Nikupe mfano GPS ilianza kutumika jeshini 1970 lakini ikaja kwenye matumizia ya raia 1990s...

Ukiona wameachia AI imekuwa public ujue kuna tech nyingine huko wanayo ambayo ni hatari zaidi, hatari na nusu, ndio hizo unasema untengenezwa unaonekana kabisa unafanya tukio watu wanajua kweli..
 
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.

Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.

Hili ni tsunami kabisa.

Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na kumuomba Mungu amlinde Rais wetu huyo.

Wimbo huo hivi sasa uko kwenye tano bora katika chati za Billboard na unatarajiwa kuwa namba moja ifikapo Jumapili ya wiki hii.

🤣🤣😉😉

Not real ni AI pure
 
Nipo na lucas hapa anabukujikwa na machozi baada ya kuusikia.
 
Huo wimbo una muda kidogo alianza R Kelly wameimba na wanamuziki wengine katika wiki ya 8 toka utoke nadhani..
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ilishaniingiza chaka
😂🤣🤣
Hapa kichwa kichwa utasema chair-fire anaendesha hiyo pikipiki, na hizi ni stage za mwanzo huko tunapoelekea itakuwa ina uhalisia kwa asilimia kubwa zaidi.
 
Attachments

  • VID-20250517-WA0043.mp4
    1.4 MB
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.

Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.

Hili ni tsunami kabisa.

Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na kumuomba Mungu amlinde Rais wetu huyo.

Wimbo huo hivi sasa uko kwenye tano bora katika chati za Billboard na unatarajiwa kuwa namba moja ifikapo Jumapili ya wiki hii.

🤣🤣😉😉

Miafrika anayoichukia Dudubaya na wewe huyo atakula za kichwa tano.
Halafu we unarudi lini huku dunia ya 3 upokelewe na maua pale airport badae upotee😆
 
watu weusi ni TAKATAKA, tunalalamikia udikteta kwenye nchi zetu lakini tunasifia madikteta wa nchi nyengine
 
Miafrika anayoichukia Dudubaya na wewe huyo atakula za kichwa tano.
Halafu we unarudi lini huku dunia ya 3 upokelewe na maua pale airport badae upotee😆
Kwani unajua nilipo sasa hivi hadi unauliza narudi lini?
 
Back
Top Bottom