Ngoma ya R. Kelly: God protect Ibrahim Traore

Huu Uzi asiuone Nyani Ngabu maana anaweza kutapika……🤣🤣

Nikisemaga IQ za Waafrika ziko kwenye low single digits huwa sitanii. Huwa namaanisha haswa!
Tatizo unachukuaga vitu serious sana sasa hapo hujaelewa kama jamaa kaamua tu kuzingua?
 
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.

Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.

Hili ni tsunami kabisa.

Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na kumuomba Mungu amlinde Rais wetu huyo.

Wimbo huo hivi sasa uko kwenye tano bora katika chati za Billboard na unatarajiwa kuwa namba moja ifikapo Jumapili ya wiki hii.

🤣🤣😉😉

Waafrika wanapenda wanajeshi jamani.

Screenshot_20250523_070106_Reddit.jpg
 
Mbona kauanzisha yeye mwenyewe. Sasa atatapikaje?
Go figure 🤣.

Alipoona jina la Traore hakujisumbua kuangalia nani mwanzilishi wa mada.

Moja kwa moja akaniwaza mimi halafu baadaye ndo akaja kujifanya eti alikuwa anatania…..
 
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.

Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.

Hili ni tsunami kabisa.

Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na kumuomba Mungu amlinde Rais wetu huyo.

Wimbo huo hivi sasa uko kwenye tano bora katika chati za Billboard na unatarajiwa kuwa namba moja ifikapo Jumapili ya wiki hii.

🤣🤣😉😉

Naona Traole ametuma watu wake wa Propaga mitandaoni wanaotumia AI generated contents kwenda Tanzania kuisaidia vijana wa serikali kutengeneza contents. Sasa hivi wakuna Stuxnet wanajiachia nazo tu mitandaoni
 
YouTube kumejaa AI videos za Traore!

Ukitaka kuona ujinga wa watu, ingia kwenye comment section!
 
Go figure 🤣.

Alipoona jina la Traore hakujisumbua kuangalia nani mwanzilishi wa mada.

Moja kwa moja akaniwaza mimi halafu baadaye ndo akaja kujifanya eti alikuwa anatania…..
Hahahaaaaa.Mkuu yaani umemuingiza king mbaya sana alafu ukaipiga king yake kwa kete ya kawaida.
 
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.

Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.

Hili ni tsunami kabisa.

Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na kumuomba Mungu amlinde Rais wetu huyo.

Wimbo huo hivi sasa uko kwenye tano bora katika chati za Billboard na unatarajiwa kuwa namba moja ifikapo Jumapili ya wiki hii.

🤣🤣😉😉

AI
 
Nyani hivi Kelly alishatoka jela?
 
Mambo ya AI, embu punguzeni sasa
 
Back
Top Bottom