Ngoma ya R. Kelly: God protect Ibrahim Traore

Ngoma ya R. Kelly: God protect Ibrahim Traore

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,153
Reaction score
137,159
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.

Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.

Hili ni tsunami kabisa.

Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na kumuomba Mungu amlinde Rais wetu huyo.

Wimbo huo hivi sasa uko kwenye tano bora katika chati za Billboard na unatarajiwa kuwa namba moja ifikapo Jumapili ya wiki hii.

🤣🤣😉😉

 
Hata Trump kashindwa kujizuia imebidi amtafute Le Capitaine apige naye picha!

IMG_7941.jpeg
 
Namkubali R. Kelly:
  • Ila ninashaka kama audio ni yake au Ai,
  • Image visual naona kama ni AI generated.
Maana kwa sasa kuna balaa la google VEO 3, ambapo kutofautisha halisi na fake (AI) imekuwa mtihani.
 
Kiongozi utokana na maono uyu Ibrahim anakila sifa ya kuitwa Kiongozi wa Afrika uwezi kuwapenda Wazungu wa Ulaya Magharibi na bado ww ukawa na Sifa za Kiongozi wa Afrika nimaji na mafuta!!!!!

Chagua moja upendwe na Wazungu kwa kuwapa rasilimali wakusifie kipropaganda kiuchumi!!!!

Wazungu wanaamini Viongozi wa Afrika wanapenda sana rahaaa kutembea miji yao uko ULAYA !!!!

sasa uyu Mwamba ata kichwani awazi kusafiri kwenda Ulaya yao!!!!

Ibrahim yeye anaijenga nchi yake ataki kusafiri ovyo na asa kwenda uko kwawanyonyaji !!!!

ni kweli kuna vitu alijifunza kwa JPM mungu mkuu angewezesha watu awa kuonana na wote wawe Viongozi kwakweli Afrika ingefika mbali !!!

pale JPM kule Ibrahim ukanda wote wa Afrika ungenyooka pengine maendeleo ya Afrika yangekimbia zaid.. pamoja na yote mungu anamakusudio yake !!!

ona mfano Ibrahim kashamtaja sana JPM !!!

Na kwasasa Afrika nzima habari ni Ibrahim nini manayake !!!

kizazi kipya cha uongozi kitafata maono ya JPM na Ibrahim !!!

vile mungu atampa uhai zaid Ibrahim ndio Ukombozi wa kifkra utakavopanuka zaid adi kwakizazi chengine cha umri mdogo zaid !!!

ivo tutegemee Viongozi wapya wenye kujitambua zaid kuliko sasa,!!!

Rais wetu Mama Samia nimempenda zaid yeye kajikita kuboresha kila sekta na uduma mbali mbali za kijamiii !!

mahospitali barabara nishat muimu Kilimo upande wa mbolea Elimu kwasasa atusikii migomo ya wanafunzi kudai pesa za Boom !!!

na mikopo pia pesa imeongezwa kuwafikia wengi zaid na kuajiri kapandisha mishahara, !!!

SO kajikita ktk kutatua matatizo yanaikabili jamiii kwa ujumla. Wake ndiomana tunasema Mama m5 tena., !!!!

Wazungu na Vibaraka wao awana nafasi yoyote kwenye Siasa za Tanzania !!!

SOON itakuwa Afrika nzima ukionekana upo upo na Wazungu tunakukimbiza kama mwiziii mtaani tushachoka na wizi wao wa Rasilimali zetu. !!!

watake wasitake watabaki wasindikizaji tu. Ichi yatu tajiri atuwezi kuwapa Vibaraka kijinga jinga.
 
Hakika hiki kimbunga cha Ibrahim Traore hakizuiliki.

Huenda hata kukiita kimbunga ni kutokukitendea haki.

Hili ni tsunami kabisa.

Mwanamuziki nguli wa R&B kutoka jiji la Chicago, jimbo la Illinois, R. Kelly, kaachia wimbo matata sana akimpongeza Rais wa Afrika, Le Capitaine Ibrahim Traore na kumuomba Mungu amlinde Rais wetu huyo.

Wimbo huo hivi sasa uko kwenye tano bora katika chati za Billboard na unatarajiwa kuwa namba moja ifikapo Jumapili ya wiki hii.

🤣🤣😉😉


View: https://youtu.be/aFrOKH0Rqvo?si=6J4SvDNfsmPqP3ot

Mwamba ameshatoka nyuma ya nondo au ndio vile anafanya kazi zake akiwa kulekule?
 
Back
Top Bottom