chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,260
- 871
Hii comment ya ngapi mkuu???Sijui labda nisachi uzi wa kuvuja humu jamii forums,kama hakuna uzi unaonyesha lupela na aje zilivuja basi hakuna namna kwamba nitajua maana kama hawajaweka habari zake humu sina namna nyingine ya kujua.
Hawakosekanagijambo jema ni kwamba hakujawahi kutokea wimbo wa huyu jamaa kutokandiwa kinoma noma ila matokeo yake huwa tunayaona.
kwani ungesema Ommy Dimpozi PKP ungepungukiwa nini mkuuBora hii...
Kuliko ile ya Kiba na Omary Nyembo..!
Una matatizo labda.Wimbo mbovu
Mimi nauona huo Wimbo mbovu, usinilazimisheUna matatizo labda.
Na mimi nasema una matatizo ,, sikulazimishi.Mimi nauona huo Wimbo mbovu, usinilazimishe
Bhasi mororoooNa mimi nasema una matatizo ,, sikulazimishi.
Ngoma mbovu
Kwa hiyo unamlazimisha kuwa ana matatizoNa mimi nasema una matatizo ,, sikulazimishi.
Ningeshangaa!tangu lini umeanza kupenda ngoma za mondi??Japo sijaisikiliza ni MBAYAAAAAAAAAA!
Basi ana ujamwepesi ... atafune ndimu tu.Kwa hiyo unamlazimisha kuwa ana matatizo
Japo sijaisikiliza ni MBAYAAAAAAAAAA!