Ngoma ya Diamond na Ne-yo imevuja

Msitokwe na mipovu wapenz wa diamond naona baadhi washapandwa na blood pressure, tukosoane kistaarabu na kwa facts.....mimi sina tatizo nae kuhusu mafanikio yake kimziki binafs namkubali ila nyimbo ya marry you ni mbovu...labda kama nasoma humu kua sio nyimbo yenyewe kwamba imeunganishwa vipande na wahuni..how comes?,
 

mkuu uko sahii inabidi afuatilie collabo za AY aone alivyowafanya akina SEAN KINGSTONE,LIL ROMEO,LAMYA,MISS TRINITY,P.SQUARE
 
DIAMOND KAMUANGALIE ALIKIBA NA NEYO KWENYE ONE STAND WALIVYOIMBA BEAT KALI SAUTI TAMU AU AKAANGALIE ONE 8 ALIKIBA NA R.KELLY WALIVYOIMBA,YEYE ANALETA BEAT ZA MATARUMBETA KWA MSANII ANAYEIMBA RNB NA POP NI JAMBO LA AJABU SANA
 
Hata Best Naso pia nae anahitaji mashabiki, mbona kila siku Diamond tu? Kama mziki wake mbaya achana nae huna haja ya kumfungulia uzi. Akina Ben Poh, Jux, Kiba, Mo music, Baraka, na wengineo wanatosha sio lazima Mondi tu
 
Reactions: ovi
Weka akiba ya maneno..hizo unazozisikia ni Demo tu ya kuwaweka watu wakae tayari,.wimbo wenyewe hauna melody hiyo.

Utakuja kutamani kuufuta huu Uzi siku nyimbo itakapoachiwa mkuu
Ndugu labda useme hyo bado ni demo tu kwa hyo track yenye mixing kamili inakuja, ila kuhusu instrumental,verses na hizo melodi ndiyo hvyohivyo. Mleta mada ana uchungu wa kweli kwa kuwa anaamini wimbo aliousikia ndio hivyohivyo ulivyo ilihali anaamini wimbo ni mzuri ila haukustahili kuwa kwenye level hizo hasa hasa upande wa mixing. Labda ulivyomwambia hyo ni demo laweza kuwa jibu sahihi,ila masikitiko yake yupo sahihi pia!
 

[emoji444] When I look at you...
.......
Niko mzima sababu yako wewe tu...

When you talk to me I hear the angels I can't even see.[emoji444]

I want to marry yo....o lalalalalaalaaaaa
Olalalalaaaaaa

Venye kupenda maradhi ya moyo nitampenda nani
Sio mfupa mwenzio kibogoyo...
Kutwa wanakumendea mi pressure kizunguzungu...

When you smile....when you smile...[emoji444]

Oooooh japo kidogo...eeeeh nideke deke...
Nidekeze mama...[emoji444]


Ooooh I want to marry you...o lalalalalalaaaaaa
Twende kwa mama baba...o lalalalalaaaaaa[emoji444]
Ah twende kwa baba na mama yanguuuu

Umenifanya nikausikiliza huu wimbo zaidi ya mara 3!
Unbelievable![emoji5]
 
Aisee...watu wanatetea hata wasicho kijua, mwenyewe mwenye nyimbo anasema nyimbo ineshatoka na inasambazwa ulaya (tunayo isikiliza) lakini wateja ndio ma producer na wana dai eti ni vipande vimeunganishwa/demo mara sio yenyewe...kwa maana hii ina maanisha kwa wanavyo dai ni vipande ni kuwa wana aknowledge kua nyimbo ni mbovu so wanasubiri imaliziwe ...ushabiki unahitaji moyo [emoji23]
 
Hata Best Naso pia nae anahitaji mashabiki, mbona kila siku Diamond tu? Kama mziki wake mbaya achana nae huna haja ya kumfungulia uzi. Akina Ben Poh, Jux, Kiba, Mo music, Baraka, na wengineo wanatosha sio lazima Mondi tu
Best naso?? Anyway Mzik wa diamomd sio mbaya lakkn nyimbo aliyoimba na neyo ndio mbovu tofaut na expectations zangu.
 
Thanks mkuu umenielewa vizuri sawia.
 
Humu kila kona ni domo tu,leteni na wengine tuwape kiki jameni
Hadi mtakapomuheshimu kwa kumuita kwa jina lake la kisanii ama jina lake halsi ndio tutaleta za wengine na sio kumuita hayo majina yenu ya dharau tutaendelea kutupia tu haabar za diamond platnumz hadi internet i-break down
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…