Ngoma mpya ya Raymond

Acheni maneno tuwekeeni mziki ila huo wapelekewe watoto wa nursery wanaweza kuupenda
 
duuuuuuuu!!!! unamaanisha mkuu au unatania tuu kwa vile watu wa mbeya (wanyakyusa) ni watani wako
 
Kabla hujapost humu ungafanya tafiti kwanza! hiyo ngoma ipo you tube sijui ina kama mwaka hivi!
Umeona tu mtu ameamua kuapload leo ukakurupuka kuanzisha uzi huku
 
Nyimbo ya kitambo,naona watu mnakoment kaa chuki,nyimbo haiitwi furaha inaitwa upo mwenyewe,alitoa akiwa Tip Top,ACHENI CHUKI.
 
Nyimbo ya kitambo,naona watu mnakoment kaa chuki,nyimbo haiitwi furaha inaitwa upo mwenyewe,alitoa akiwa Tip Top,ACHENI CHUKI.
hata hamna chuki mkuu, mie ni shabiki ake sana ila nmeona imekua uploaded jana ktk blog moja hv na wanaeleza ni mpya nkashangaa pia mbona anarudi nyuma
 
Back
Top Bottom