Ngoma mpya ya King Kiba (So Hot) ni hot kweli kweli

Kama ambavyo Maywether anavyojitangaza ana pesa kumbe hana, au 50 cent anavyojifanya ni Mafia kuliko Ja rule kumbe sio Mafia au sio.

Uhuni ni nini?
Na hujionyeshaje?

Mpaka bibi yako aanze kurudi
Mimi sijaongelea maswala ya pesa, hayo umekuja nayo. Pia, Mayweather sijui 50 inategemea na namna ambavo wanaku influence wewe / wewe kuwa fan wao na kuwafatilia, unanambia Ja Rule mafia, unajua maana hata ya u Mafia ni nini au kitu gani? Shithead..
 
Dumb*ss get lost i may ruin your day so badly!
 
Kama ambavyo Maywether anavyojitangaza ana pesa kumbe hana, au 50 cent anavyojifanya ni Mafia kuliko Ja rule kumbe sio Mafia au sio.

Uhuni ni nini?
Na hujionyeshaje?

Mpaka bibi yako aanze kurudi
Unarudisha tena swali kwangu, ilihali wewe ndio umejiita muhuni, sasa unajiita kitu ambacho huna uelewa nacho? Shule ulipita kweli mkuu?

Mimi nimesema uhuni hujionesha, kwahiyo siwezi kukwambia kitu ambacho kinajionesha kwa namna yake, kwahiyo hayo maswali ulipaswa kutoa majibu yake wewe, sio Mimi. Jifunze kuwa unaelewa, usikariri.
 
Shule si alinipeleka mamako au umesahau we kiande.
Na hapa hatusemi tunaandika tu
 
Back
Top Bottom