Ngoma Droo "Wema, Diamond"

Ngoma Droo "Wema, Diamond"

Ngoma droo, yaa hao maseleb wa bongo, mbona ipo kazi.
 
Let personal affairs remain personal, asiyewahi kuwa hivi na awe wa kwanza kuzomea!
 
mhh inaonekana kabisa wamelazimisha wapate hadithi!!!
 
hivi mapenzi ya watu nyie yanawahusu nini? Kama ni umbea pelekeni facebook.
 
Huvu sasa ni saa tano na nusu
napita tu jamani
 
Another "weda" (wema&diamond) thread! I think its time we all give them a break jamani!
 
Huku ni sawa na kupiga chabo dirishani, waacheni kwani wapo wengi tu hata mtaani kwetu wanaowazidi hawa kwa mbaali!
Wema and Diamond.jpg
 
What is so special abt this, Mbona kawaida 2. Au kuna m2 anawatafutia ujiko. Let them do whatever they want, Ukiona vipi na ww ukaombe.
 
Na ambaye hajawahi kufikiria au kufanya hiyo kitu ambayo hao wanafanya awe anedelee kuchangia mada hii. Mimi naona hayo ni mambo binafsi ambayo kila mtu yuko huru kufanya au kutofanya.
 
Mbona mnawasema bure tu watu wa watu au kwa kuwa wanajulikana,amini nawaambia wako watu wanajifanya kuponda hapa ila wao wakipanga ma-ex wa boyfriend/girlfriend foleni yake inaweza kutoka goli hadi goli(uwanja wa soka)
 
wamejitahidi sana kujiheshimu mbona namba ndogo sana hiyo ukilinganisha na umaarufu walionao katika jamii.
 
Back
Top Bottom