Ngoja niropoke

viumbe tumewabeba miaka zaidi ya thelathini kwenywe korodani wwe ni nan mpka utukataze tusiwalakamikie wanapokosa akili?
 
viumbe tumewabeba miaka zaidi ya thelathini kwenywe korodani wwe ni nan mpka utukataze tusiwalakamikie wanapokosa akili?
Nani kakukataza we mtu?
Mlilazimishwa mtubebe kwenye korodani? Tuhamishieni mgongoni.

Lalamika ukimaliza kasikilize wimbo unaitwa Gloomy Sunday
 
Nani kakukataza we mtu?
Mlilazimishwa mtubebe kwenye korodani? Tuhamishieni mgongoni.

Lalamika ukimaliza kasikilize wimbo unaitwa Gloomy Sunday
hahahahahhaha nyie ni sisi tu mimi nina mimi then nina wewe xy kaa kwa kutulia
 
Naona majigambo mengi ooh tumewabeba kwenye korodani sijui nini..so what?

Ni kama mama zetu ukimuudhi anaanza kusema nimekubeba tumboni miezi 9...mkwara tu
tumewabeba mkuu na tunawapenda na kuwalinda sna ila mkikaidi amri zetu tunawaacha mtoe connection
 
Kidogo wanawake wa kizungu huku nilipo wana kaustarabu fulani japo sio wote ila ni afadhali, ila kwa wanawake wa kibongo.. aisee ni shida ukitaka kufa mapema oa mwanamke mbongo msomi utacheza regae ya maileee
 
Kadri mwanamke anavyoanda juu kielimu, kuna namna anapoteza WIFE TRAITS umakini unahitajika sana ndo mana wengi wanabaki single/single mothers.
Huu Ndo ukweli ndugu yangu,shida ya ndoa za wasomi asa wanawake ni kubwa mno na hili tumekuwa tukilijadili humu kila Mara ,hakuna ndoa ya wasomi hasa Hawa Akina mama yenye amani wengi wanaigiza tu nje Ila ndani ni shida.
 
Kuna Kila namba wazee wetu wawajibike kusudi miiko yetu na tamaduni zetu kuanzia kwenye familia zitudi vinginevyo tutakuja ona vitu vichafu sana hapo baada,tusipoangalia ndoa au watu kuishi pamoja Kama mke na mume itakuwa msamiati kwa kizazi kijacho
 
Sasa na hawa wasomi wataolewa na Nani!? Maana tukiwaachaa wawe single sana,bado tatizo litarudi kwetu Wanaume!!
 
Ni kweli.
Mnajipendekeza... chukueni hatua. Maneno mengi na kulialia haitabadilisha kitu.
Kwanza umeelewa maana halisi ya hilo neno au umekurupuka tu kwa sababu ya ulimbukeni wako wa Maisha!!??
 
Basi wavumilie. Mi nawashangaa hawa watu utafikiri wamelazimishwa mtu wa kumuoa.
Wakati tunawaowa hamna kitu mnakua wapole, Sasa tukisha watengeneza na nyinyi mkawa watu mnaanza kiburi!!
 
Mim siwezi paparikia mwanamke hata awe boss vip amepewa nyusi anazikata ana jichora na penseli kuna ndugu yako huku hakihitwa tu anakimbia yaani utadhani anawahai msiba same milimani
 
kama kawaida vijana wangu nawapenda awanabutua mbususu ukileta mdomo unaachwa na mtoto lea ila kakuachia alama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…