Ngoja nipokee simu kwanza

Ngoja nipokee simu kwanza

kinyangesi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
247
Reaction score
86
KUTANA NA MTU MWENYE HURUMA ZAIDI DUNIANI.



Jamaa mmoja kafiwa na mkewe. Wakiwa makaburini alimuona mwanaume mmoja analia sana huku akijigalagaza. Mume mfiwa akamuuliza rafiki yake, Mbona huyu analia sana! Ni nani huyu? Rafiki yake akamjibu, huyu alikuwa anatembea na mke wako. Jamaa kwa huzun akamfuata na kumnong'oneza nyamaza nitaoa mwingine! Naye atakuwa mpenzi wako.unajua kilichotokea? subir kidogo nipokee cm inaita.
 
ni wapi huko yupo huyo mtu mwenye huruma?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom