Ngoja na mimi nitoe ya rohoni wana chit chat

Ni mojawapo ya character za watu,kuna character zaidi ya nne,
sifa ya flagmatic ,1.huwa ni wapole na wataratibu,2.hawana maamuzi,kama ni jambo wanaweza kukaa nalo mkononi bila kutoa uamuzi 3.huwa wana aibu 4.ni rahisi kutengeneza urafiki 5.akiwa ktk group la watu huwa anafunikwa coz yeye si muongeaji 6.huwa wanafikiri sana na wana facts zaidi kutokana na uwezo wao wa kufikiri 7.huwa wanapendelea kukaa wenyewe mara nyingi.8.there ar gud ktk kazi ambazo zinawaweka peke yao kama zzinazohusu computer,software,accountants,bussines analyst etc,,thats why wengi wa matajiri wa comp duniani ni flagmatics incharacter
 
 
i think i am one also,ila JF naongea balaaa!!!...hizo character zingine hembu funguka pia.tujue
 
Sanguine- hawa mara nyingi huwa
1.ni waongeaji sana na
2.huwa na marafiki wengi,
3.hupenda kutembea ktk makundi makundi
4.mara nyingi huwa ni waigizaji
5. they are talkative
5.hupenda kuonekana mambo yao kuwa ni makubwa ama hupenda sifa
6.they are funny,never boring kama flagmatic ndio maana huwa wana marafiki wengi
7.huwa ni vigeugeu
..ktk kuishi na watu ukishajua character ya mtu hatakusumbua kwa sababu unajua jinsi walivyo na madhaifu yao
 
 
ndio la rohoni hilo mi mikajua ni la usoni? pata nyagi then nenda kwa hao watu
 
sasa nifanyeje niondokane na hofu????//////??////?/////////////////?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????/
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…