Ngoja leo niwasanue wamatumbi

Ngoja leo niwasanue wamatumbi

Yaani maandishi yako yanamkanganyiko sana... Umesema hakuna dhumuni...

Then tena ukasema maisha hayana maana..

Bado tena uka criticize jamii ya wahadzabe. Kwa kukosa dhumuni.

Je kipimo cha dhumuni ni kipi hasa?

Maana kila kitu kina dhumuni... Mmea hutoa matunda, wanyama nao ni kitoweo.. Jua, maji, ardhi, na vinginevyo vyote vinadhumni la kuwepo... Sasa Unaposema hakuna dhumuni una maana ipi?

Kufa na kuzaliwa hiyo ni kwa kila kiumbe.
Wapi nimecriticize wahadzabe ? Nimekuambia mbona wao wanaishi maisha yao bila hilo dhumuni , hawana muda wa kufikiria mambo ya sehemu nyingine. wote ni binadamu tunakamilisha phase tatu ; kuzaliwa , kuishi na kufa .

Hakuna dhumuni maisha ni ndoto , a,mbayo utaishi muda mrefu kama mfu kuliko ulivyokuwa hai . Kuna watu wanaishi porini kama huko Amazon , hawatumii hata pesa ila wanaishi fresh na wanazaliana ..Maisha yako ni kivyako la ujiwekee madhumuni yako, wengi wenu mnafuta mkumbo wa nchi nyingine .
 
Hii ni critic huwezi kusema wanaishi bila dhumuni.. Kila jamii ina mila na destuli zao... Kwani nilipo sema dhumuni kwa kila kiumbe nilimaanisha nini? Sio pesa, wengine existence yao tu ni dhumuni toshaa... Kipepeo uwepo wake tu ni dhumuni tayari ukimwona tu una feel something.

Mmh mbona sikuelewi???
Utaishi sana ukiwa mfu au hai? ... 😬

Dhumuni sio mahala au achievement fulani ni kusudi la wewe kuwepo..
 
Kwa nn unaweka point , hzio nyingine sio universal ila universal ni kuzaliwa , kuishi na kufa basi
 
Kwa nn unaweka point , hzio nyingine sio universal ila universal ni kuzaliwa , kuishi na kufa basi
Actually kuzaliwa kuishi na kufa sio dhumuni ni cycle ya nature...

Dhumuni ni kusudi... Hasa hasa namna unavyo impact maisha kwa ujumla. Sio in a sense of self gain
 
Japo umetumia maneno makali sana bila tafsida ila umeongea ukweli mtupu hasa hapo kwenye mifumo na uchawi, utaileta lini hiyo mada Elevenn
Maneno makali....! Yapi hayooo?

Nitakuja nayo soon, ngoja tuanze na haya kwanza maana hawakawii kusema nitokee kwa shemeji hawa😀
 
Super natural power iitwayo Mungu,Haina uhusiano na dini yoyote wewe itumie tu ku harness kilichobora usifungwe na Imani ya kidini coz dini ni mtego wa kutawala the weak!!

Fanya KAZI kwa bidii tumia hiyo nguvu utafanikiwa,sio lazima uwe mtumwa wa kanisa na msikiti!!!!

Kuwa huru ,iite nguvu hiyo kwa sauti ya kawaida na sema unachikitaka halafu fanyia kazi utaona mambo yanaenda!!
Hii nguvu Ina uhusiano wowote ule na Majini na mizimu!?
 
Hii nguvu Ina uhusiano wowote ule na Majini na mizimu!?
Labda nikwambie tuu ya kuwa hakuna kitu Kama hicho... Ni matapeli tu wa kidini ndo walikuja na dhana za makini.

The God and the devil are both in you.... You have to make them your friend, yaani devil Mfanye akufundishe madhaifu yako na God mfanye akufundishe strength zako.

No external force can destroy you without your concern
 
Nadhani bado Kuna mambo mengi watu hamyafahamu na Bado tupo kwenye safari ya kujifunza

Binafsi nimejifunza kwenye maisha yangu kutokupinga jambo ambalo Sina ufahamu nalo /ushahidi nalo

Topic Yako ni nzuri sana Ina mafundisho mazuri ndani yake lakini ktk hili ulilonijibu yaonyesha wazi kwenye upande huo bado haufahamu kitu
 
Nadhani bado Kuna mambo mengi watu hamyafahamu na Bado yupo kwenye safari ya kujifunza

Binafsi nimejifunza kwenye maisha yangu kutokupinga jambo ambalo Sina ufahamu nalo /ushahidi nalo

Topic Yako ni nzuri sana Ina mafundisho mazuri ndani yake lakini ktk hili ulilonijibu yaonyesha wazi kwenye upande huo bado haufahamu kitu
Unajua nini, ni kheri ungekuja na facts kabisa...

Katika kuamini wengi tu natumia sana hisia ila ukweli wa mambo hasa tusioyajua hibaki kuwa dogma tuu. Mfano, Unaposema kuwa kuna majini lazima uje na facts...

Kwa nini ni binadamu pekee aloe na Majini? Na mizimu? Wanyama je....

Kuna wengine hutumia kafara za wanyama na mafisi sijui??? 😂 So unakaa kujiuliza hao mafisi nao wanajijua kuwa ni wachawi..

Inshort tunaouita uchawi ni kutokufahamu deeper aspects of reality.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom