lara1 hujui kuwa akitaka jua kama umesafiri atajua tu kwa kukuomba passport?
Watu hata kudanganya hamjui
Simu gharama tunatumia EMAIL, na face book kuwasiliana. Sasa akiona line ya voda inapatikana si ataona uhuni huu sasa?Mimi ukiniweka blacklist natumia namba nyingine kukupigia simu. Pia kwani ukienda kutibiwa ndio mawasiliano yanakatika au sijakuelewa vizuri hapo lara?
Nina demu mmoja wa Kichaga huwa tunaburudishana kwa kupeana vyetu,ni mzuri kwelikweli kiasi hata cha kunifanya kwa nini amekuwa Mchaga kwa kuwa ana shepu balaa... sasa juzi kati akanipigia simu akiniambia eti anakwenda Moshi kwa bahati ambaya sikuwa na fedha za nauli nikamwambia asubiri.
Baada ya siku tatu akanipigia akisema kuwa ameshapata nauli na yuko Moshi... daaa! akaniambia sasa jukumu langu ni kumpa nauli ya kurudi, nikaona ni sawa, kwenye mitandao ya kijamii akaanza kuweka picha akiwa kijijini, nikaamini kuwa yuko old Moshi.
Ijumaa akanipigia simu kama nimepata nauli ya kumtumia, nikamwambia Jumapili nitamtumia nauli ili arudi tuendelee na mambo yetu, eeeeh Jumamosi asubuhi nakatiza sehemu nikamuona anashuka ndani ya bajaji, baahati mbaya eneo hilo kuna mtu anafahamu uhusiano wetu. Akaingia ndani kwa mtu anayejua mambo yetu, miye nikapata fursa ya kujibanza sehemu ili nimuone vizuri.
Dakika chache tu akatoka ndani mbio huku akiangaza huku na kule, nahisi aliambiwa uwepo wangu maeneo yale na mtu anayejua uhusiano wetu ambaye kuna muda aliniona na kusalimiana. Mpaka leo sijapata simu yake... siju alijua kama nimemuona au... nasubiri sana simu yake....mademu wengine bwanaaa... najitahidi kummhudumia lakini halidhiki anaendeleza mila za kizamaniiiiiiii....Ananiona miye falaaa...
na nyie mnayatafutaga acha yawakute, unamuhudumia mtu ambae wala si mkeo wala ndunguyo kisa nini? umekuwa mzazi wake au kaka yake?
Jumamosi iliyopita mkuu.Kaka imepita mda gan tangu umbambe uyo dem
Tena we Chizenga ningekupata bila hata stress! Sio WANAUME MABWEGE, SEMA WANAWAKE SMART TUNAJILIA KIULAINI.wanaume mabwege hawaishi!wakiingia anga zako we kamua tu
Bila technic hela mnayoa nyie? Mwenyewe kuna mtu nimemwambia anipe hela mwezi wa 5 naenda nje kutibiwa, kanipa hela ya passport, visa, bado matumizi, mwezi wa 5 namuweka black list atajua nipo nje, siku zikitimia namtoa afu ndo inakuwa nimerudi, MJINI MIPANGO!
Bila technic hela mnayoa nyie? Mwenyewe kuna mtu nimemwambia anipe hela mwezi wa 5 naenda nje kutibiwa, kanipa hela ya passport, visa, bado matumizi, mwezi wa 5 namuweka black list atajua nipo nje, siku zikitimia namtoa afu ndo inakuwa nimerudi, MJINI MIPANGO!
sasa kwa nini mpaka leo ujanitumia nilirudi jmosi bwana ... mbona hivyo tena sikutaki tena mwanaume unaombwa hela mda wote hutumi ndo nini.... alafu nataka laki mbili naomba nitumie
mrsleo kwa mwelekeo wa post yako nahisi upo kwenye ndoa. Je kabla hujaingia kwenye ndoa, hukugharamiwa na aliyekuwa mchumba hata siku moja?
hahahaha hapo baada ya kukuona ndo kashapata sababu hatumi tena lol
Hiyo nauli ya Moshi ni kwa ndege ama?
ilikuwa ya basi wala si ndege
ila ningekuwa mm ningeenda nikamsalimia ili tuonane!sasa hapo anaweza kubisha!!Duuu! Mkuu pole sn. Hapo anajipanga ataanzaje...na wewe usimtafute.
mkuu umeuliza utafikiri wewe ndo ulikuwa naye na sasa unataka kuthibitisha...!Kaka imepita mda gan tangu umbambe uyo dem