Simba Mkali
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 620
- 243
Nina demu mmoja wa Kichaga huwa tunaburudishana kwa kupeana vyetu,ni mzuri kwelikweli kiasi hata cha kunifanya kwa nini amekuwa Mchaga kwa kuwa ana shepu balaa...
Sasa juzi kati akanipigia simu akiniambia eti anakwenda Moshi kwa bahati ambaya sikuwa na fedha za nauli nikamwambia asubiri.
Baada ya siku tatu akanipigia akisema kuwa ameshapata nauli na yuko Moshi... daaa! akaniambia sasa jukumu langu ni kumpa nauli ya kurudi, nikaona ni sawa, kwenye mitandao ya kijamii akaanza kuweka picha akiwa kijijini, nikaamini kuwa yuko old Moshi.
Ijumaa akanipigia simu kama nimepata nauli ya kumtumia, nikamwambia Jumapili nitamtumia nauli ili arudi tuendelee na mambo yetu, eeeeh Jumamosi asubuhi nakatiza sehemu nikamuona anashuka ndani ya bajaji, bahati mbaya eneo hilo kuna mtu anafahamu uhusiano wetu.
Akaingia ndani kwa mtu anayejua mambo yetu, miye nikapata fursa ya kujibanza sehemu ili nimuone vizuri.
Dakika chache tu akatoka ndani mbio huku akiangaza huku na kule, nahisi aliambiwa uwepo wangu maeneo yale na mtu anayejua uhusiano wetu ambaye kuna muda aliniona na kusalimiana.
Mpaka leo sijapata simu yake... siju alijua kama nimemuona au... nasubiri sana simu yake....mademu wengine bwanaaa... najitahidi kummhudumia lakini halidhiki anaendeleza mila za kizamaniiiiiiii....Ananiona miye falaaa...