Ngo, ngo, ngooo wenyeweeeeeee

Ngo, ngo, ngooo wenyeweeeeeee

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
habari zenu jamani am a mama aged 33 naomba nafasi kuwa mwenzenu humu.

With Lots of love and appriciation. Thanxxxxxxxx.
 
Asante sana Erick. Mmmh naona watu wamegoma kunikaribisha sijui ni kwa sababu ya Mfumuko wa bei. Hahaha any way ntaingia hivyohivyo, hata msiponiuliza narudi lini kijijini.
 
Asante sana bajabiri, asante kwa tahadhari pia.
 
Karibu sana bi. Nyakomba, nikuhudumie kinywaji gani?
 
Asante sana Erick. Mmmh naona watu wamegoma kunikaribisha sijui ni kwa sababu ya Mfumuko wa bei. Hahaha any way ntaingia hivyohivyo, hata msiponiuliza narudi lini kijijini.
Hahahaaa wamebanwa na majukwaa mengine naomba kuwawakilisha
 
Karibu BN, huku hatupitipiti kiviile. Kumbuka kuchangia JF maana mkono mtupu haulambwi.
 
Back
Top Bottom