Ngo ngo ngoo Nagongewa gesti hausi muda huu

Ngo ngo ngoo Nagongewa gesti hausi muda huu

Bujibuji umetisha kuanza mwaka gesti na mke wa mtu. utafumaniwa mwaka mzimaaa

inaonekana hakuweka kile kibao cha 'dont disturb'!

hebu toka nje kiweke halafu urudi kula apple Bujibuji!

wachaga ni wasomi, wataelewa manake! teh!
 
Last edited by a moderator:
yakikataa kupanda je?
Itabidi ajipandishishe hivyo hivyo si anasema sema tu maneno yakumuwezesha kutoka na hasa aseme kiti anataka damu hapo lazima watoke nduki bila kuacha kuyataja majina maarufu ya haya madude kama vile makata , maimuna n.k
 
Halafu majina yao mazuri sana GOD LISTENS

hahahaaa!!! mkuu toka tu kimya, waambie, 'sorry, nilisahau kuweka kibao cha dont disturb'!!!

then rudi uendelee kula kitobo!!
 
mama weeeee!!! umeme umekatika!

computer imezima!

naanza kusikia sauti za ajabu!! uuuuwiiii!!! dada umetaja manini haya?

asubuhi njema!!
Hahahahahahahahahahaha pole aisee sali hofu itaondoka
 
Hahahahaha nenda kwa mama Rwakatare utaombewa bure kabisa .

jamani unavyonisukuma sukuma basi na wewe!!!

we mba hivyo hivyo hata kama hujui!

tatizo ni sauti tu.. !!!
 
jamani unavyonisukuma sukuma basi na wewe!!!

we mba hivyo hivyo hata kama hujui!

tatizo ni sauti tu.. !!!
Hapana nenda kwa mzee wa upako au mwingira au n.k huko utapata huduma nzuri hakuna bla bla.
 
Hapana nenda kwa mzee wa upako au mwingira au n.k huko utapata huduma nzuri hakuna bla bla.

hahahaaaa!!!

ahsante... naona wazidi kukimbia tu! ok.. ntaenda ila sadaka iko juu mnooo!!
 
Ha ha ha haaaaa jiandae lazima tugonge mzigo leo huo. nami niko nje na mangi, funguaaaaaaaaaaaa sasa hivi tena uandae na dume kabisa.
 
muanzisha mada heheheheee umenichekesha sana na wote niliowapa like kwenye hii thread mmenichekesha mnooo thanks much loooh :laugh::laugh::laugh:
 
muanzisha mada heheheheee umenichekesha sana na wote niliowapa like kwenye hii thread mmenichekesha mnooo thanks much loooh :laugh::laugh::laugh:

mmmh... Kasinde bana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom