Ngo ngo ngoo Nagongewa gesti hausi muda huu

angalia wasije kukugongea kwa nyuma.
halafu kukugongea kote huko umeweza kuingia JF?
UNA MIOYO!!! You baffle me a lot!
kama vipi jifanye sanamu lililoharibika
 
Itabidi ujifanye umepandisha mashetani halafu unasema mwacheni kiti wetu. Heri ya mwaka mpya lkn anza mwaka kwa uchaji wa Mungu achana na hayo makitu ni hatari sana.
 
Bujibuji.. waambie wao ndio wafungue huku ukiongea kikurya tupu!

agiza panga kaunta kabisa!!! mchaga na mkurya havielewani kabisa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom