Ngo ngo ngoo Nagongewa gesti hausi muda huu

Issue hii ilinitokea .....akili ya kuzaliwa ilifanya kazi.

"Mimi nilivaa nguo za mwanamke na yeye zangu"

Ulipovunjwa mlango, mim ndukiii
 
Pole sana mkuu ungekuwa umesoma comments tulizompa mwenzako aliyekuwa anajidifia anabanjua mke wa mchagga omba li roho la marehemu mushi lisikuzukie.
 
Niko na mke wa Mchagga muda huu, wanatishia kuvunja mlango nisipofungua

Umwisyughu mpaka valyepo inyuma yako. Vape itolo vakuleke (ie Leo lazima O iliwe, wape tu unusuru maisha), wakimaliza unawafungulia kesi ya kula WITI yako. Ghaleke AMALAYA Bujibuji!!!
 
Last edited by a moderator:
Nikiona kituko cha guest kimeripotiwa na fichua maovu wa global ntajua ni bujibuji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom