GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
kikwete.... huyu ni mmoja ya maraisi waliliangamiza sana taifa hili. tuwe tunaambiana tu ukweli maana ukweli utatuweka huru. suala la lugumi nadhani sasa limesikiwa.. kange lugola anasema lugumi hakuwa na kosa. nani alikuwa na kosa? amesema serikali.
juzi juzi kikwete alienda ikulu kuonana na rais. na baada ya yeye kuonana naye ndo limekuja hili tamko.kwa nini ?kuna mambo ilibidi akayaweke sawa huko.lugumi alitumika nyuma yake walikuwepo watu wakubwa.
Richmond,IPTL, EPA etc. Mikataba mibovu, Mauaji ya tembo kupata pembe za ndovu,madawa ya kulevya,uuzwaji wa wanyama nje ya nchi na kashfa nyingine nyingi sana. haya mambo ndugu kikwete aliyaacha yatende yeye akiwa anajua yanavyotendeka .... mchakato wa kupata katiba mpya ulijawa na ufisadi mkubwa sana. haupigiwi kelele sababu walaji walikuwa wengi .. wabunge walifaidika sana na ule mchakato unadhani watasema nini? zaidi ya kutamani kikwete arudi madarakani?
serikali ya kikwete ilijua kula na watu.. watu wanaipenda sababu waliachiwa kila mtu ale kutokana na urefu wa kamba yake. hazina tunajua hakukuwa na pesa maana zoooote zilimalizwa wakati mkapa alipoondoka aliacha pesa nyingi hazina. ndugu yetu kikwete alituachia madeni na ndo kuna pesa zililiwa. leo hii kuna watu wanasema wanamkumbuka kikwete. ni sawa kabisa si ajabu.
kuna watu wanamkumbuka sana mobutu sese seko wa zaire. na wanatamani angeeendelea kuwepo zaire maana wangefika mbali. lakini nchi ililiwa kipindi cha kikwete kuliko kipindi kingine chochote katika historia ya nchi hii. na hii mizigo ndiyo aliyokuja kuibeba magufuli.na sometime inamlemea anajikuta kumbe shughuli ni nzito sana.
kwa nini Magufuli anashambuliwa sana (sisemi he is innocent) anashambuliwa sababu yeye alikataa kuwalipa baadhi ya wasemaji wakubwa upande wa upinzani. hamkumbuki zitto alikuwa ni mmoja ya waliokuwa mwanzo wanamuunga sana mkono magufuli?mpaka wenzake wanasusia bunge yeye anabaki?
magufuli hakutaka kuendelea kuwalipa wapinzani ili wasimseme kwa mabaya kama mtangulizi wake. na hapo ndipo alipokorofishana na akina zitto.ambaye kwa kiasi kikubwa pesa imekata.sasa amekuwa mchungu hasa baada ya safu ya uongozi wake kumeguliwa... utagundua wanasiasa ni watu ambao hawapiganii maslah ya wananchi hata siku moja.
wacha moto uwake.