Ngeleja na jk nawapa akili.

Zing

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
1,767
470


kila wizara imesimika generator standby. tena makubwa tu

Yale magenerator ya BOT inasemekana yanatosha kusambza umeme mkoa wa dodoma na singida kwa pamoja.

Hata Pale ikulu pia inawezekana kuna standby generator na standby generator


Je kwa style hii mgao utaisha.?

JK na Ngeleja
ina backup. teh teh teh
  • piga marufuku matumizi ya generator anza na wizara ya Nishati. Toa mwaka mmoja kwa wizara nyingine nazo ziuze magenerator yao.
  • waambie ikulu hapo wauze mageneator. waambie umeme wa taneso ukikatika na wewe unataka kukaa gizani.
Labda ni kwa sababu tatizo la umeme haliwaathiri ikulu, BOT wizara ndio maana wanasinzia.

Hayo ma generator ni kama kila wizara ina dowans yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom