Majenerator ofisi na taasisi za serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majenerator ofisi na taasisi za serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Aug 19, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu.

  • Karibu kila wizara ina standby generator na mengine kwa sasa sio standby bali ni e electricity supply generator kutokana na muda yanayotumika
  • Ofisi za Mikoa na hata wilaya kuendesha shuli zao kutoana na kukosekama umeme zinatumia hizo generator
  • BOT pale nasikia uwezo wa magenerator yaliyopo pale yanaweza kusambaza mahitaji ya majumbani na viwandani kwa mkoa wa dodoma na singida kwa pamoja.
  • Kuna majengo kama NSSF tower,PPF tower Bnjamin Mkapa Tower na majnego mengine mengi makubwa

  Serikali ifanye tathmini kujua si tu umeme unaathiri sekta za uzalishaji bali unaongezea gaharama za kiuendeshaji hata kwa serikali. Pesa iliyotumika kununua , kuendesha ya kuyakarabati magenerator haya ambayo sasa ni kama chanzo kikuu cha kuzalisha umeme ingeepelekwa kwenye mambo mengine ya msingi tungekuwa mbali.
  • Je magenerator yalipo ofisi zote na tasisi zte z seriali yanagharimu shilingi ngapi kwa mwaka. Mfano Generator la TRA na BOT yanatumia shilingi ngapi kwa mwaka?

  Bajeti inayotumika kununua generator na mafuta yake kwenye ofisi ya wizara ai mkoa inawekwa kwenye fungu la fungu la maendeleo lakini inahsia kugarimia uedeshaji wa shughuli za utawala. Ndio maana hata bajeti za wizara ziingeongezeka mara ngapi hauna kitachokabadilika sababu pesa nyingi zinaishia kweye uedeshaji( Administration cost)

  kama ningekuwa Rais Jakaya Ningetoa muda wa Miezi sita tu tu kwa ofisi za wizara zote kuacha kutumia magenerator. Na kwa ofisi ya wziri wa nishati na TANEScO ningetoa miezi mitatu tu.

  Wito

  Tu naomba serikali ihairishe msiba na mazishi ya TANESCO inayondaaa kwa makusudi sijui kwa faida ya nani? tunataka TANESCO apone.
   
Loading...