Wakuu nilikuwa nikipata moja baridi sehemu fulani jana baada ya kazi ngumu na joto kali la DSM.
Mara umeme ukakatika, jamaa mmoja akapiga kelele kwa nguvu:" Ngeleja hiyoo imeingia na tunayo mpaka saa sita usiku"
Wateja nilioweza kuwaona wa karibu wakatikisa vichwa,na wengine kulalamikia ujio wa mgeni huyu wa ghafla!
Ngeleja na umeme(lack of) vishakuwa synonimous!