Ngeleja aibuka sakata la mchanga wa madini

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja amesema Serikali ilikuwa na mpango wa kujenga mtambo wa kuchenjua madini tangu muda mrefu.

Amesema hayo leo Ijumaa bungeni wakati akifafanua tuhuma zinazotolewa kwa viongozi wa wizara hiyo waliokuwapo wakati mikataba ya madini inasainiwa kwamba hawakufanya chochote kuepusha wizi na udanganyifu unaoendelea kwenye sekta ya madini.

 
Serikali inaweza kufanikiwa but only if you believe in miracles.
Ha ha ha ha

Hakuna miracles hapo ni kujitoa fahamu ndiko kunatuponza tukisha chapwa viboko miaka hii mitano tutanyooka tuacha tabia ya kudhani uongozi ni kujilimbikizia na siyo utumishi wa umma
 
Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?
Mambo gani yakiisha??? Unless unamaanisha mfike mpaka mwisho kuanzia kurekebisha miswada yenu mibovu hadi mikataba mwishoni mpaka mkapa na kikwete mtawachunguza na kuwataifisha!!! Ila zaidi ya hapo itakuwa BUSINESS AS USUAL
 
Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?
Na kama serikali ikishindwa,Magu atasema nini? Au atasema wataanza kurekebisha sheria za madini baada ya uchaguzi 2020?
 
Uliyefuta post yangu niliyoandika "mmmmmmh"

Ulitaka niandike nini?

Watu wanaweka vidoti vya full stop hamfuti...sasa why nisimshangae au niandike uongo ndio ukae?
 
Wamteue tena kuwa Waziri wa Madini na Nishati ili aje kurekebisha kama anajua alikosea mahali...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom