Jiuelize pia na the other way round! Kinyume chake? Wewe na Serikali mtakuja na ngonjera gani?Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?

I do believes in Miracles.
Kama mambo yakiishaje kwa mfano? Na unafikiri lengo la serikali ni nini maana serikali yenyewe umeanza kubadili chorus; sikiliza maneno ya JPM siku ya kukabidhiwa ripoti, halafu sikiliza majibu ya waziri mkuu bungeni jana juu ya suala hili. Sasa tuambie kadri ya uelewa wako kufanikiwa kwa serikali katika jambo hili kukoje?Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?
Ndotoni tena kwenye njozi ya jinamizi ndio serikali itaibuka kidedea kwenye Hilo. Then watashtuka na kutweta Ila WatakuwA wameshachelewa.Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?