Jiulize pia, je ikiwa kinyume chake, akina watawala nao!Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?
Watu wengine ilitakiwa wawe Isupilo muda huu.
"mmmmmmh"Uliyefuta post yangu niliyoandika "mmmmmmh"
Ulitaka niandike nini?
Watu wanaweka vidoti vya full stop hamfuti...sasa why nisimshangae au niandike uongo ndio ukae?
Serikali ya maneno inajenga kwa manenomipango sio matumizi. kwann sasa walishindwa kujenga
hahahahhaha mkuu unakufahamu ISUPILO?teh teh
Mnafki sana huyuHuyu jamaa ndiye ali kweda kusainia mkataba hotelini Ulaya. Hana cha kutuambia Watanzania. Anatakiwa nae muda huu awe chini ya uchunguzi
And miracles happen most of the times. The only thing that kills people fast is the decision not to engage their minds in thinking....Serikali inaweza kufanikiwa but only if you believe in miracles.
Safi kabisa ikiwezekana wafute hta ID yako humu JF..... coz hta kma ungecomment somethin different it would have been more irrelevant than the "mmmmmmh" gesture u made!!!!!Uliyefuta post yangu niliyoandika "mmmmmmh"
Ulitaka niandike nini?
Watu wanaweka vidoti vya full stop hamfuti...sasa why nisimshangae au niandike uongo ndio ukae?
Safi kabisa ikiwezekana wafute hta ID yako humu JF..... coz hta kma ungecomment somethin different it would have been more irrelevant than the "mmmmmmh" gesture u made!!!!!
Anyway tunahitaji watu kma nyie humu JF ili tuburudike..... by the way tunasubiri comment yako kule kwenye uzi wa msukuma 😀😀😀😀Here you are... again.
Anyway tunahitaji watu kma nyie humu JF ili tuburudike..... by the way tunasubiri comment yako kule kwenye uzi wa msukuma 😀😀😀😀
Kwakweli am ur biggest ''FAN'' 😀😀😀Oooh kumbe unanisubiria...eeeeh
Kwakweli am ur biggest ''FAN'' 😀😀😀
Watafanya kama walivofanya kwa Lowasa na sasa wanamlamba miguuMimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?
Kama waliweza kumsafisha mamvi unadhani watakosa cha kuongea?Mimi najiuliza kama haya mambo yakiisha na serikali kufanikiwa hawa kina Lissu watasema nini baadae? Ama watarudi na chorus tulianza sisi mwaka 1998?