Sikuona chochote alichofanya nishati na madini zaidi ya maneno tu,oh mara tatizo la umeme litakua historia,matokeo yake likazidi kuongezeka.pia kuna suala la uadilifu kwa huyu mtu kwa nini anatuhumiwa ktk mambo mengi ya ubadhilifu,dhuluma,kutumia madaraka vibaya,ikiwa pamoja na kufukuzisha watu kazi na kuwaharibia maisha yao na familia zao.nina wasiwasi na kazi wanayotarajia kumpa labda isihusishe maisha ya watu moja kwa moja,maana viongozi wa namna hii wanajali maisha yao binafsi na future ya watoto wao na kuangamiza watoto wa wengine ili wa kwao waishi vizuri hapa duniani huku wakisahau kuwa mwisho wa siku watasimama kujibu mbele ya Mungu kwa hukumu