Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 816
Jina ndo linalomkuza mtu: mzee megawati
Mkuu hili limeshakuwa tatizo la Arusha
Siku nne hakuna umeme wala ile ratiba iliyokuwepo haifuatwi yaani tunaishi kwa kubahatisha tuu
Yaani nina siku tano sijauona umeme na wala sijui unarudi au kukatika muda gani maana kama upo ni usiku wa manane na unaondoka muda huo huo wa manane
Sasa sijui ni tatizo la Arusha tuu au na kwingine
Yani its terrible am telling you. Ukiwapigia TANESCO wanakupa majibu ya kipumbavu kabisa huku wakicheka. Naomba mwenye namba ya Ngeleja anipatie niongee nae moja kwa moja.

Ni kweli Mkuu, hata mie hua najuiliza kama hili tatizo linaapply kwa Mikoa yote.
Wacha achukue namba amp vidonge vyake wananchi kutulia na kukaa kimyaa anazidi kutuona wajinga wakati yeye anaendleza ufisadi na wizi kwenye madini na kununua mafuta mazito hewa kwa kusingizia dharura ya umeme na hata ukikutana njiani na mtu kama huhy ni kumpiga fimbo na mawe. Kuzalisha umeme wa kutosha inawezekana isipokuwa tunateseka kwa sababu ya ufisadi wa akina Ngeleja na kundi lake ndio wanafanya wizi wa mchana na umeme kuonekana hautoshi kila siku miaka nenda rudiNduka Original, wala usitake namba yake huyo Mr. Megawati atakuumiza kichwa bure achana nae.
Ni kweli Mkuu, hata mie hua najuiliza kama hili tatizo linaapply kwa Mikoa yote.
Halafu tunabaki kukubaliana na sentensi tata kama hizi....!Mzee wa megawatt atakuambia tuu kuwa mchakato unaendelea na grid ya taifa imeongezewa megawatt 30 ndo maana mgao unapungua
Mzee wa megawatt atakuambia tuu kuwa mchakato unaendelea na grid ya taifa imeongezewa megawatt 30 ndo maana mgao unapungua
<br /> <br /ALIVYONADHARAU hatapokea simu yako na AKIPOKEA ATAKUJIBU NYODO.Yani its terrible am telling you. Ukiwapigia TANESCO wanakupa majibu ya kipumbavu kabisa huku wakicheka. Naomba mwenye namba ya Ngeleja anipatie niongee nae moja kwa moja.