MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
September aliyosema naona bado haijaisha labda mwisho wa mwezi huu ndio watarudisha umeme kama kawaida wakihakikisha ile 10% yao ya wahindi wauza majenereta imekwisha umeme utarudi hivyo tuendelee kutaabika hadi hapo watakapo maliza stock yao ya majenereta ndipo turudishiwe umeme ama sivyo endeleeni kutumia mishumaa,vibatari,chemli na taa za kichina.
Kamwe mgao hauotoisha ukiisha kichwa changu halali ya Ngeleja !