Tamaduni za watanzania hutofautiana kabila na kabila. Sasa unaposema hakuna tamaduni za tanzania mi sikuelewi. Kumbuka mipaka waliweka wzungu kwa kalamu tu na hivyo makabila yote ya mpakani yana mahusiano sehemu zote mbili za nchi husika. Tamaduni za Tanzania ni kama nembo za taifa basi... Kwani hujakuta bendera za taifa nk?
Wee bi tch unacheza makida makida relini, subiri treni 'ikupitie'
naona hapa bun inanukia.
Ngara inatokana na mti mababu zetu wakina BARAMBA walipo kuwa wanafanyia mikutano upo pale halmashauri unaitwa igiti cha ngara ndo wakapata jina la wilaya ya ngara. wenyeji wa ngara ni wahangaza wanaoongea kihangaza na washubi wanao ongea kishubi. ngara ina mchanganyiko wa wahaya, wanyambo na wasubi na waha pia. lugha za watu wa ngara na rwanda, burundi hazitofautiani sana coz hata mipaka ni bikon tu!. mi nimefika hadi kwa akina rutihinda.
utazi umuhangaza amuhanga amaso. mia
ndala ndefu,we sio msomi kama unavyo jiita hayo matusi hayaoneshi kuwa kuna msomi hapo,rahaja hata watoto wa foqm 2 wanajua.tumia maneno ya kawaida tu utaeleweka.mwenye hekima huona haya na kujificha mpumbavu huenda mbele na kuvimba kichwa.msemo
Kuna watu wamekalia ku post ujinga ujinga tuu adi wanauzi!
Mia wakora sana waitu, usengwile sana, wabeja sana mwana wani, ulakoze, sande sana mwana kwetu, nk (Kindly note sitaki maswali kwa hizo lugha, Kongoi (kikalenjini in Kenya), Nasi ama/ako (kiiraqwu) in Mbulu ha ha inawatoshea bana kha??
Kuna watu wamekalia ku post ujinga ujinga tuu adi wanauzi!
mulusagamba,muvididili.milamila,k9,lwekubu,kabanga,mutendeli,rusumo,kanaz,kote wamejaa wanyarwada na warundi wanaoitwa wahangaza .rujea ule uzi wa uliosema kagame anaingiza watu wake tz.
Wadau,
Tuache masikhara ya kijiografia na tujikite kiuhalisia, wilaya ya NGARA ni Tanzania ama?
Kama ni Tanzania, basi imetelekezwa na warundi/wanyarwanda wamejiotea mizizi na himaya zao,, amini usiamini hakuna tamaduni za kitanzania katika wilaya hiyo, tembelea ujionee
mi nitaoa binti toka Ngara...
Hao mkuu beki hazikabi kabisa