Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
waje mpaka huku dar bwana
hizi taarifa ni za kweli?mmm ngoja ni ulize maana huko ni kwa wakwe na sijajua loloteMpaka wa tanzania rwanda na burundi si salama kwa sasa kwa tangu juzi mapigano makali yanaendelea mpakani ambapo vikundi vya wapiganaji vimejichimbia eneo hilo!
Taarifa za awali zinasema ni mapigano kati ya waasi wa burundi na serikali ya burundi, taarifa zinazidi kuchanganya baada ya kubainika kuwa majeshi ya tz yapo mpakani yakijibu mapigo!
Hali hiyo imepelekea wakazi wengi waishio mpakani kuyakimbia makazi yao.
Mgodi maarufu wa Kabanga Nikel nao umesitisha shughuli zao kufuatia mapigano hayo ambayo yamekuwa kama siri vile!
Habari zaidi zitaendelea kutolewa hapahapa jf chanzo kikuu cha habari za lugha ya kiswahili duniani hususani tz!
Majeshi ya tz wanajibu mashambulizi kwani wameingia kwenye ardi yetu?
Majeshi ya Tanzania waache kiherehere. Tuna matatizo mengi, hatuna muda wa kuingia vitani.
Watu kwa kuongea mavi!
Una laana ya kwenu wewe! Ama ndiyo wale wale kiuno wewe!
tatizo wale waasi wanapigana kutokea tanzania.na wanapozidiwa wanakimbilia tanzania kama wakimbizi.kwa mfano pale muluvyagira na mkikomero ngara mpaka wa burundi na Tanzania waliweka vijisiment kama mipaka ya nyumba na nyumba pengine ni miti imepandwa so waasi wanapopigana wanashindwa kujua kama wapo Tanzania kiasi kwamba mapigano unakuta yanafanyikia Tanzania. So hawa JWTZ wanapo ona hivyo wanaanza kupiga risasi ili kuwarudisha nyuma kitu kinachofanya askali wa burundi wawaone kama waasi.mia