Tatizo la kupanda vitu pia liko pale bandarini kuna ucheleweshwaji sana inafika hatua mtu unatoa mzigo kwa gharama ya juu kidogo, hapo lazima tupandishe kuwekana sawa
Mwaka mmoja wa mama si mchezo kg 25 unga wa kawaida ilikuwa 25,000 Leo 41,500 ..ule unga pendwa w ppf ulikuwa 36,000 kg 25 Leo 53,300. Asante Mama u anaupiga mwingi....Leo Azam Bei zinasoma hivi..View attachment 2161514
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.