Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
Habari wana jf nakuombeni kujua zaidi ni wapi hizo lishe za ng,ombe mmoja kuongezeka kilo 2 na nusu kwa siku zinapatikana wapi katika mikoa ya Arusha na Moshi Natanguliza shukran
Nafikiri ukiwasiliana na wale jamaa sijui wapo Morogoro....wanaweza kukutumia!![/QU mawasiliano yao ndugu tafadhali
mkuu umebobea sana.mkuu nijuavyo mimi hii ni aina ya ng'ombe wa nyama wenye sifa ya ukuaji wa aina hii na tena kuna wengine wanaongezeka uzito kwa kila saa 1. Ng'ombe wa maziwa au wa kienyeji hata umlishe nini hawezi kuongezeka uzito kwa kiwango hicho.
basi tunasubiri jibu. Asante Apolonary kwa kuuliza[ haswa hayo majibu ndo nayasubir kwa ham maana jf ni zaid ya uijuavyo.
mkuu nijuavyo mimi hii ni aina ya ng'ombe wa nyama wenye sifa ya ukuaji wa aina hii na tena kuna wengine wanaongezeka uzito kwa kila saa 1. Ng'ombe wa maziwa au wa kienyeji hata umlishe nini hawezi kuongezeka uzito kwa kiwango hicho.[/QU je kama unasema ng,ombe wa maziwa hawez kukua haraka kias hicho mbona waziri mwenye dhamana ya wizara husika alisema ng,ombe wa aina zote wanafaa kutumia au ni muongo?
Du kuna hadi ng'ombe wa broiler?? Wazungu wanazidi kutujazia cancer tu africa![ sio cancer ndugu bali ni utaratibu maalum wa malisho!
Nafikiri ukiwasiliana na wale jamaa sijui wapo Morogoro....wanaweza kukutumia!![ nipe mawasiliano yao!