Ng`ombe hazeeki maini..

Ng`ombe hazeeki maini..

ALLEX

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
2,006
Reaction score
346
uzee dawa.jpg

.usifanye mchezo na vijana wa zamani bana...
 
Old is Gold bwana babu kula vitu hapo,hakuna usharobaro.
 
we babu vp?na we mwanamke umevaa nguo ya mdogo wako wa mwisho nini?babu angalia ucchakachue mali za watu.....:whistle:
 
Ndio maana siku hizi watu wazima wanakufa kwa ukimwi halafu tunasema umri umeenda!
 
Hata wazee wanaitaj malez ya moyo. Kwan ukizeeka ndo ule na ubwabwa uliolala. Yaan we mze una dream kama zang ntakamata mpya 2 mpaka nalala shmon.
 
hizi ni laana. Babu na mjukuu imekaa vibaya akipelekwa round moja fasta analala mpka asubuhi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom