NFL Super Bowl, Special Thread

Hii nchi naipenda, na moja ya sababu inayonifanya niipende ni kwamba, hakuna mtu aliye juu ya sheria. Haka ka Ray Nagin baada ya kujipatia umaarufu through Katrina kakaanza kula milungula. Wacha wakafunge tu!.
Kafuata libeneke la yule dogo aliyekuwa Detroit mayor, Kwame Kilpatrick, kama sikosei
 
Naangalia online inaelekea taa zimezimika uwanjwani, ingekuwa hivyo bongo yangekuwa makubwa. Wanaoangalia live kwenye TV hasa walioko huko Marekani tuambieni, taa zimetengamaa au bado?
 
Siamini macho yangu!
Manake wakati wa presidential campaigns ulivyokuwa ukimponda Jaluo......leo mbona umegeuza kibao ha ha ha!

Evidently you didn't catch the whiff of sarcasm there.

I don't look at color (if you should know).
 
Kafuata libeneke la yule dogo aliyekuwa Detroit mayor, Kwame Kilpatrick, kama sikosei
Kuna Congressman mmoja sijui nae alikuwa wa Lousiana, alikutwa na $90,000 kwenye freezer. Nae anaozea jela. Kafungwa Scooter Libby itakuwa hawa wengine bana!.
 
Haya .........na kazi iendelee.....baada ya umeme kurudi.....
 
Hii ngoma.....ngumu sana kwa SF.......
 
Daaaaaaamn

Bmore fumble the ball,

Bonge la u turn kwenye matokeo.

Umeme utaleta balaaa
 
He he he...ngoja tuongezee hot wings na bia hapa, kibao kimegeuka!.
 
Fox News just reported that, the power outage at Superdome was an act of terror!....Just a joke guys!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…