Neymar sasa ni Neymoney, paundi milioni 357( Trilioni 1 na Bilioni 95) kumpeleka Madrid

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Aliyekuwa mchezaji wa Barcelona anayekipiga kwa matajiri wa Ufaransa klabu ya Paris Saint-Germain inayomilikiwa na mfanyabiashara kutoka Falme za kiarabu, Sheikh Nasser bin Ghanim Al-Khelaïfi, Neymar Jr huwenda akatimkia Santiago Bernabeu na kufanikiwa kuvunja rekodi aliyoiweka ya usajili wa paundi milioni 200 wakati alipotua katika timu hiyo.

Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez huwenda akamsajili mshambuliaji huyo wakimataifa wa Brazili baada ya kumzungumzia mwezi mmoja tu tangu Cristiano Ronaldo ajinyakulie taji lake la tano la Ballon d’Or.

Fowadi huyo wa PSG, Neymar tayari amefanya mazungumzo na wakala wake na kumuomba kutimiza dili hilo la kuhamia Real Madrid.

Ripoti zinasema kuwa kilakitu kinakwenda sawa ila Madrid italazimika kutoa dau la paundi milioni 357( Trilioni 1 na bilioni 95 za kitanzania) ikiwa ni pamoja na ada ya uhamisho kama watahitaji kuishawishi PSG kumuachia.

Rais huyo wa Madrid, Florentino Perez amesema kuwa “Kuwa ndani ya Madrid hukuwezesha kushinda taji la Ballon d’Or kirahisi. Madrid ni timu inayowawezesha wachezaji wakubwa kupata kilakitu wanachokihitaji, kila mtu anafahamu hilo nahitaji kumsajili,” Perez amesema wakati akizungumzia lengo la Neymar hasa kunyakuwa taji hilo.

Kwamujibu wa habari kutoka gazeti la Marca la nchini Hispania mchezaji huyo ghali zaidi dunia kwa sasa gharama yake ya kuhamia Madrid itakuwa paundi milioni 357 na hii inakuja baada ya kuchukua takribani miezi sita tu tangu Mbrazili huyo kutua PSG.

Kwamara ya kwanza Neymar aliwahi kufanya mazoezi na Madrid akiwa na umri wa miaka 14 wakati nyota wa timu hiyo kwa wakati huo akiwa Dani Carvajal.

Ingawa mchezaji huyo alifanya maamuzi ya kurejea kwao Brazili. Mwaka 2013, Real Madrid kwamara nyingine tena walimuita Neymar nakufanikiwa kufaulu vipo vya afya lakini aliamua kutimkia Barcelona. Sasa ni mara ya tatu Real Madrid wanajaribu bahati yao ya kumsajili.

n_f_c_barcelona_neymar_da_silva_santos-11714126-600x567.jpeg
 
Hiyo pesa ni ndefu mno,, in-short haiendani kabisa na uwezo alionao. Hata ile 200 hakustahili. Sema tu waarabu wanapesa za kumwaga.
Sasa pesa kama zipo za kuzitandaza kuanzia dar kwenda kigoma kwenye lami zinafanyaje benki? wanaona wazipunguze tu..
Hata hivo ukishamjua perez na maana ya los blancos hutapata shida sana
 
Aliyekuwa mchezaji wa Barcelona anayekipiga kwa matajiri wa Ufaransa klabu ya Paris Saint-Germain inayomilikiwa na mfanyabiashara kutoka Falme za kiarabu, Sheikh Nasser bin Ghanim Al-Khelaïfi, Neymar Jr huwenda akatimkia Santiago Bernabeu na kufanikiwa kuvunja rekodi aliyoiweka ya usajili wa paundi milioni 200 wakati alipotua katika timu hiyo.

Rais wa klabu ya Real Madrid, Florentino Perez huwenda akamsajili mshambuliaji huyo wakimataifa wa Brazili baada ya kumzungumzia mwezi mmoja tu tangu Cristiano Ronaldo ajinyakulie taji lake la tano la Ballon d’Or.

Fowadi huyo wa PSG, Neymar tayari amefanya mazungumzo na wakala wake na kumuomba kutimiza dili hilo la kuhamia Real Madrid.

Ripoti zinasema kuwa kilakitu kinakwenda sawa ila Madrid italazimika kutoa dau la paundi milioni 357( Trilioni 1 na bilioni 95 za kitanzania) ikiwa ni pamoja na ada ya uhamisho kama watahitaji kuishawishi PSG kumuachia.

Rais huyo wa Madrid, Florentino Perez amesema kuwa “Kuwa ndani ya Madrid hukuwezesha kushinda taji la Ballon d’Or kirahisi. Madrid ni timu inayowawezesha wachezaji wakubwa kupata kilakitu wanachokihitaji, kila mtu anafahamu hilo nahitaji kumsajili,” Perez amesema wakati akizungumzia lengo la Neymar hasa kunyakuwa taji hilo.

Kwamujibu wa habari kutoka gazeti la Marca la nchini Hispania mchezaji huyo ghali zaidi dunia kwa sasa gharama yake ya kuhamia Madrid itakuwa paundi milioni 357 na hii inakuja baada ya kuchukua takribani miezi sita tu tangu Mbrazili huyo kutua PSG.

Kwamara ya kwanza Neymar aliwahi kufanya mazoezi na Madrid akiwa na umri wa miaka 14 wakati nyota wa timu hiyo kwa wakati huo akiwa Dani Carvajal.

Ingawa mchezaji huyo alifanya maamuzi ya kurejea kwao Brazili. Mwaka 2013, Real Madrid kwamara nyingine tena walimuita Neymar nakufanikiwa kufaulu vipo vya afya lakini aliamua kutimkia Barcelona. Sasa ni mara ya tatu Real Madrid wanajaribu bahati yao ya kumsajili.

View attachment 676006
The Galastico

Money talks

Perez hashindwi

hapo anamtafuta mrithi wa Cr7 atakaye leta upinzan kwa Messi japo Messi naye utamu wake unaelekea ukingoni...

Perez anajua Neyma akija ataingiza pesa ndefu via matangazo..ballon...CL n.k. na madrid wataingiza pesa na mashabiki

Mpira wa sasa ni pesa...Pesa ni sabuni ya roho...Ukiwa na pesa unaweza fanya mlima kilimanjaro kuwa plain then ukajenga uwanja wa mpira.....

Sasa hivi hizi Giant Club zimeacha kutegemea academies zao kwa kupata wachezaji tegemezi...Barca waliokuwa waumini wa kuu wa Academy wameacha hizo mambo...Sasa hivi wanaingia mfukoni tu na wametumia pesa ndefu kusajili..Dembele..Kotinyo...Na yule Beki..

If you want to get trophies lazima uwe na matumizi makubwa ya pesa
 
Hiyo pesa ni ndefu mno,, in-short haiendani kabisa na uwezo alionao. Hata ile 200 hakustahili. Sema tu waarabu wanapesa za kumwaga.
Kama ww unaamini hiyo pesa haiendan na uwezo wake hayo ni mawazo yako..

Mpira ni pesa hasa wa sasa...Tulishangaa Pogba...Cr7...Bale...Kotinyo...Neymoney.....Vijk beki wa liva...watakuja beki wengine kwa pesa nzito
 
The Galastico

Money talks

Perez hashindwi

hapo anamtafuta mrithi wa Cr7 atakaye leta upinzan kwa Messi japo Messi naye utamu wake unaelekea ukingoni...

Perez anajua Neyma akija ataingiza pesa ndefu via matangazo..ballon...CL n.k. na madrid wataingiza pesa na mashabiki

Mpira wa sasa ni pesa...Pesa ni sabuni ya roho...Ukiwa na pesa unaweza fanya mlima kilimanjaro kuwa plain then ukajenga uwanja wa mpira.....

Sasa hivi hizi Giant Club zimeacha kutegemea academies zao kwa kupata wachezaji tegemezi...Barca waliokuwa waumini wa kuu wa Academy wameacha hizo mambo...Sasa hivi wanaingia mfukoni tu na wametumia pesa ndefu kusajili..Dembele..Kotinyo...Na yule Beki..

If you want to get trophies lazima uwe na matumizi makubwa ya pesa

"Messi japo Messi naye utamu wake unaelekea ukingoni"...kivipi???
 
Embu waelezee mkuu wanafikiri utani utani tu kutumia matrilioni ya pesa kununua wachezaji, pia club status inapanda maradufu
 
Izo ni tetesi na porojo za media acha kudanganyika mkuu
Hahahah hata wakati neymar anatoka barcelona before watu kama nyie mlijua kwamba ni porojo za media,mkawa mnasena neymar ni second god wa barca baada ya messi... lakini waarabu wenye PESA zao walipoweka mezani haikua tena porojo za media bali kwamba neymar hana uwezo wa hio pesa ...sasa ataondoka ataenda madrid, ila saivi mnaona ni porojo za media subiri Mr Perez ainue simu yake...unajua maana ya galacticos?!
 
Mwaka 2000 ulikuwa ni kwa mara ya kwanza washabiki tunashuhudia uhamisho wa ajabu, chini ya Pereze, FIGO anatoka Barcelona kwenda Madrid.

Toka pale, naamini Madrid hawashindwi kumnunua au kumhamisha mchezaji yeyote.

5397900c47986bb84961cc630c2acf45_crop_exact.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom