Neymar sasa ni Neymoney, paundi milioni 357( Trilioni 1 na Bilioni 95) kumpeleka Madrid

Madrid fans bwana Eti hatumtaki :D:D:D....perez anatamani sana sana sana kumchukua Mfalme huyu, except uwezo huo hana,,,, dau la timu nyingine kuweza kumsajili kiumbe huyu/Mfalme Messi limetajwa kuwa ni pauni milioni 626,,,, Kiasi kinachohitajika kuvunja mkataba wake ni euro milioni 700 uwezo huo anao???? na madrid sio hadhi yake kubwa ukilinganisha na Barca....mtu anacheza the big club in the world atakie nini kuondoka!! Kitu gani amekosa pale mpaka aondoke!!!! Sasa kwa taarifa yako from now ballon d'0r 3 or 4 zinamnyemelea mfalme huyu...mark my words.
Umenishangaza ..unauliza uwezo wa kipesa wa Florentino Perez ..unafikiri hio hela ni kubwa sana kwake..kwani kwa neymar kutoka barca kwenda psg si mlitoa mapovu kwamba hamna wa kumtoa neymar barca mana hamna mwenye pesa...leo yuko wapi?!
Messi kinachomsaidia kumuweka pale yeye kutoka damuni ni barca yeye pesa sio priority yake, anadhani ufalme wake ataujengea pale akishindana na Ronaldo kwaio unapotoa hoja usitoe kishabiki bali toa kama mtu mwenye ufahamu kuhusu mpira.
 
Kwa sasa wamefulia kabisa.wamegeukia kumnadi Sharo Neema sio Ronaldo tena :p:p:p

Eti huyu ndiye anafukuzia ballon d'Or kipindi cha baba yao:p :p:p:pView attachment 676772 View attachment 676773

watasubiri sana. Kwa sasa watulize munkar astaafu soka nao wapiganie kuipata.
Mnapotoa hoja za kishabiki mkumbuke Lionel Messi hayuko peke yake

Screenshot_2018-01-16-07-46-27-1.png
 
Hahahah hata wakati neymar anatoka barcelona before watu kama nyie mlijua kwamba ni porojo za media,mkawa mnasena neymar ni second god wa barca baada ya messi... lakini waarabu wenye PESA zao walipoweka mezani haikua tena porojo za media bali kwamba neymar hana uwezo wa hio pesa ...sasa ataondoka ataenda madrid, ila saivi mnaona ni porojo za media subiri Mr Perez ainue simu yake...unajua maana ya galacticos?!
na kama hawajui, huo ulikuwa mpango madhubuti wa kumchua naymar, isingewezekana aje direct kutoka barca, ikumbukwe pia baba yake naymar ndo wakala wake na tayali alishaa meza moja na perezi, pia real haijasajiri galact kwa muda mrefu huku enzi za cr7 zikielekea ukingoni, na midenguo mingi ya cr7 mara naondoka imeshamkera perez. lakin pia naymar anaona njia ya haraka kufika ndoto za mesi na cr7 ni kucheza real na si psg, real ni team kubwa na yeye ndo anaenda kuwa mfalme pale
 
Kama ww unaamini hiyo pesa haiendan na uwezo wake hayo ni mawazo yako..

Mpira ni pesa hasa wa sasa...Tulishangaa Pogba...Cr7...Bale...Kotinyo...Neymoney.....Vijk beki wa liva...watakuja beki wengine kwa pesa nzito
Anadhani Simba na yanga wale...
 
Umenishangaza ..unauliza uwezo wa kipesa wa Florentino Perez ..unafikiri hio hela ni kubwa sana kwake..kwani kwa neymar kutoka barca kwenda psg si mlitoa mapovu kwamba hamna wa kumtoa neymar barca mana hamna mwenye pesa...leo yuko wapi?!
Messi kinachomsaidia kumuweka pale yeye kutoka damuni ni barca yeye pesa sio priority yake, anadhani ufalme wake ataujengea pale akishindana na Ronaldo kwaio unapotoa hoja usitoe kishabiki bali toa kama mtu mwenye ufahamu kuhusu mpira.
"'Perez is prepared to back his potential new man in the market by offloading Ronaldo, Gareth Bale and Karim Benzema in order to sign Kane, Dybala and Neymar.'" kutoka source za spain(Marca) kama hawaamini juu ya maamuzi na uwezo wa perez basi hao ni mashabi wa juzi juzi wa EPL, ila kwa mshabiki harisi anajua perez ni mtu wa aina gani akiamua lake jambo. sasa hivi ana hasira sana na zidane maana akuwa akiweka kauzibe kukubali usajiri mpya, mwisho wa msimu anapigwa chini,huenda kocha wa taifa wa ujeruman akapewa mikoba.Joackim L.
 
"'Perez is prepared to back his potential new man in the market by offloading Ronaldo, Gareth Bale and Karim Benzema in order to sign Kane, Dybala and Neymar.'" kutoka source za spain(Marca) kama hawaamini juu ya maamuzi na uwezo wa perez basi hao ni mashabi wa juzi juzi wa EPL, ila kwa mshabiki harisi anajua perez ni mtu wa aina gani akiamua lake jambo. sasa hivi ana hasira sana na zidane maana akuwa akiweka kauzibe kukubali usajiri mpya, mwisho wa msimu anapigwa chini,huenda kocha wa taifa wa ujeruman akapewa mikoba.Joackim L.

na kama hawajui, huo ulikuwa mpango madhubuti wa kumchua naymar, isingewezekana aje direct kutoka barca, ikumbukwe pia baba yake naymar ndo wakala wake na tayali alishaa meza moja na perezi, pia real haijasajiri galact kwa muda mrefu huku enzi za cr7 zikielekea ukingoni, na midenguo mingi ya cr7 mara naondoka imeshamkera perez. lakin pia naymar anaona njia ya haraka kufika ndoto za mesi na cr7 ni kucheza real na si psg, real ni team kubwa na yeye ndo anaenda kuwa mfalme pale
Mkuu kazi sana kumuelewesha SHABIKI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom