Hope scolari ataipanga vyema mchezo ila fred tu ampumzishe bhana
Me naomba netherland watolewe na argentina hivo basi final itakua easy kama kumsukuma mlevi lol
Mhhhh! Sidhani kama kesho anaweza kucheza labda kwenye final game kama watashinda kesho, atakayecheza badala ya Neymar kesho ni Willian naye ni mzuri ila si kwa kiwango cha Neymar.
Kwi kwi kwi kwi hutaki pressure eeh? Argentina nao wazuri hivyo hata wao kama wataingia kwenye WC final na Brazil wanaweza kushinda pia.
Umeanza sasa....ushindi kwa brazil tu
Kombe halipandi ndege
You cant win the world with such mediocre strikers sampuli ya Fred, he cant run, cant create spaces, cant position himself well etc..then you have another one Jo, yani I wonder huyu Scolari alikuwa anawaza nini to take such players
Mashabiki wa brazil kwa kujipa moyo....
Possibility ya kombe kupanda ndege ni kubwa sana!
Possibility ya kombe kupanda ndege ni kubwa sana!
Mie akimueka fred ananichosha kweli....hivi wewe team gani?
Na tuoe.....piga uwa halipandi ndege
Siku ya mwanzo tu walipocheza na croatia nliona hii....
Brazil tumeamka ijapokuwa si kama ya kina ronaldo de lima
He he he, kuna joke inaendelea people are wondering how Brazil has been winning games with ten men meaning yani Fred ni kama hayupo vile. Bado nawafagilia wadachi!
Hahahaha its a miracle sasa akipumzishwa fred na kuwa team kamil 11 si ndo itakua balaa[/QUOT
Lakini kesho timu yako ina shughuli pevu, yani mkivuka hapo, FIFA wawakabidhi kombe kabisa!
Hahahaha its a miracle sasa akipumzishwa fred na kuwa team kamil 11 si ndo itakua balaa[/QUOT
Lakini kesho timu yako ina shughuli pevu, yani mkivuka hapo, FIFA wawakabidhi kombe kabisa!
Hamna lolote wee subir kina muller tutavyowakimbiza kuliko walivyotololewa kijasho na kina slimani (algeria)
I wont be shocked final ikiwa kati ya wadachi and Germans!! Possibility ipo ingawa najua mcheza kwao...
Hamna lolote wee subir kina muller tutavyowakimbiza kuliko walivyotololewa kijasho na kina slimani (algeria)
Timu zinatofautiana sana, yani kesho your midfielders lazima wafanye kazi ya ziada kubaliana na the German machine, na msiombe mpelekwe penalt since 1978 they have gone to penalties 5 times in big tournaments na wameshinda zote, in short penalties ndio nyumbani kwao!
Itakua baina ya sisi na argentina.....
Siku ya 12 tutafunga 2-1....
Natabir tu japo me si yahya hussein