Neymar Katuzidi Akiri Ronaldinho!

Neymar Katuzidi Akiri Ronaldinho!

Namsaidia Companero Neymar alishinda klabu bingwa amerika kusini na santos,ila alifunikwa vibaya sana na FC Barcelona ktk world club FIFA champions walikula 4-0,Pele aliona aibu eti alisema atamfunika Messi,Messi alifunga Neymar nadhani aligusa mpira si zaidi hata ya mara 6,Barca wanatisha alifunikwa santos hawakuonekana mwisho akabaki anaduwaa hakuamini macho yake mpira ulipoisha na kukiri barca ni timu bora kwa sasa duniani!
 
hujajibu swali langu.....ronaldo, ronaldinho rivaldo na wengineo wengi wameshashinda champions league, league titles, domestic cups na world cups, pia wameshashinda individual awards kama world player of the year...sasa huyo dogo yeye ameshashinda kitu gani? Pele alikua na medals hakua anafanya kazi ya kanisa uwanjani
Ebana mtotowamjini swali lako manshaalah na namsubiri Companero aje atoe jibu husika.
Najuwa huko aliko anapanga propaganda ya kuja kutupa hapa.

Companero swali limerudiwa tena kwa kunyooshwa zaidi ili iwe rahisi kwa wewe kutupatia jibu, hasa mimi mfiligiswa na mfulukutwa na mgalagala ambaye pia ni muumini wa Gaucho kama inavyofahamika hapa Duniani na Mbinguni.

Achana na maswala ya kamusi hizo, jamaa ataku PM njoo ujibu swali husika linaloendana na thread yako.

Acheni uvivu wa kusoma takwimu au bandwidth yenu ndogo? Nonda Shabani Papii kashaweka jibu la swali lenu hapo chini kwenye kideo:

Last edited by a moderator:
Namsaidia Companero Neymar alishinda klabu bingwa amerika kusini na santos,ila alifunikwa vibaya sana na FC Barcelona ktk world club FIFA champions walikula 4-0,Pele aliona aibu eti alisema atamfunika Messi,Messi alifunga Neymar nadhani aligusa mpira si zaidi hata ya mara 6,Barca wanatisha alifunikwa santos hawakuonekana mwisho akabaki anaduwaa hakuamini macho yake mpira ulipoisha na kukiri barca ni timu bora kwa sasa duniani!

bora umesema...neymar bado ni dogo tuu....huwezi mfananisha yeye na mtu kama messi...huyu neymar anatesa huko south america na timu za kichovu aje europe kama messi alivyofanya mbona anaogopa? aje apambane na timu kama juventus the milans, bayern munich madrid ndio tuone how good he is...messi ashapambanan na hizo teams na akashinda champions league na akapewa medal ya the best player in the world...wenzake akina ronaldo ronaldino walikuja europe wakacheza kwenye the best teams in the world....yeye mbona anaogopa...barca, chelsea zinamtaka lakini anasuasua...

maradona alimwambia messi kua japokua ameshashinda champions league, club world cup, la liga, spanish cup na world player of the year mara zote hizo lakini bila kushinda world cup na argentina hawezi kua kwenye same level kama wao pele na maradona coz mpaka ushinde ubingwa wa dunia ndio unaonekana ur a true legend. 2014 brazil neymar ana chance ya kutuonyesha what he's made of akichemsha messi akampiku ajue imekula kwake
 
acha kasumba!

"Neymar doesn't need to go to Europe to be chosen as the world's best player, because the coach he has at Santos now [Muricy Ramalho] has been working with him for over a year. And, during that period, we've seen how Neymar has changed in terms of his attitude and his positioning out on the pitch. Muricy has helped and continues to really help Neymar to grow in tactical terms. I don't believe that he needs to go to Europe to evolve as a player. Anyone who knows Neymar knows that he's been coming on leaps and bounds in the last two or three years and that he's probably going to come on a lot further too" - Luiz Felipe Scolari says Neymar can lead Brazil to World Cup glory - ESPN FC
 
dah Nonda mambo vp mkuu?
kitambo kimepita sijakutana na bandiko lako...ilikuwa tangu enzi ya mapambano dhidi ya kumng'oa kamanda Muammal Gadaffi...kheri lakini?

Poa tu mkuu.
Unafuatilia kasheshe la Syria?
 
acha kasumba!

"Neymar doesn't need to go to Europe to be chosen as the world's best player, because the coach he has at Santos now [Muricy Ramalho] has been working with him for over a year. And, during that period, we've seen how Neymar has changed in terms of his attitude and his positioning out on the pitch. Muricy has helped and continues to really help Neymar to grow in tactical terms. I don't believe that he needs to go to Europe to evolve as a player. Anyone who knows Neymar knows that he's been coming on leaps and bounds in the last two or three years and that he's probably going to come on a lot further too" - Luiz Felipe Scolari says Neymar can lead Brazil to World Cup glory - ESPN FC
we kalagabao,wanakuambia wenyewe football made in germany,na ukweli halisi soka sasa ulaya hususan spain,hiyo mipira ya america kaka ni chenga twawala ushindi hakuna(ilikuwa spain na barca zamani),america ilikuwa zamani ila kwa sasa hawana chao,ni lazima Neymar akitaka mafanikio apitie ulaya hususan spain ndio ataimarika aachane na mipira ya anao anao kucheza na jukwaa copacabana warembo na kulewa sifa mwisho utasikia kiwango chake kimeshuka hata kabla hajafikisha miaka 25,ndio wachezaji wengi wa amerika kuna mchezaji anaitwa manso anaua soka lake pale lcd quito chile,angalia hata kina oscar huenda wakampita neymar,neymar ataishia kusapotiwa na pele tu kisa anachezea timu aliyochezea kitambo hicho.
 
Gutierez umesomeka mnana...
Na mimi namalizia kwa kusakafia kuwa ''Dobi wa kweli utamjuwa siku akipewa nguo nyeupe''.
Huyo Naima aje ulaya ili akutane na soka lenye mchanganyiko wa wachezaji wa mabara yote.

shtuka
 
Back
Top Bottom