Next PRESIDENT!!!!!!!!

Next PRESIDENT!!!!!!!!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1404991610.762697.jpg
 
Mwenye suti ya Blue hapo ndio rais....mnyoa unga aende akawe baharia tu....huyo mwenye suti nyeusi hata kwa dawa apati bora Wema sepetu kuliko joka la mdimu
 
Nasikia kuna askofu alisema kuwa hahitaji rais anaenyoa kipara,by the way this time around watu wapo makini sana hawataki tena issues za miaka ile ya chaguo sijui la Mungu.2015 hakuna ch chaguo la Mungu wala la shetani ni kura kuamua pande zote nne za dunia
 
Ha ha haaaaa EEEE Mola! tulinde waja wako tufike hiyo 2015 na zaidi tujionee viroja
 
Hii kauli ya kunyoa unga angeitoa Baba wa Taifa ni ile sauti yake wakati anasema mkala nda ingekuwa poa sana ha!ha!ha!
 
Hahahahahahaha, wazee wa chama wanamuangalia tu
 
Lakini kwa ccm nguvu ya mamvi haizuiliki!!
Mpaka ifike kipindi cha maccm kuteuana, mamvi atakuwa amechoka sana(kiafya)
na watamteua mwingine.Ungemwona siku za karibuni ungekubali ninachosema.
 
Mpaka ifike kipindi cha maccm kuteuana, mamvi atakuwa amechoka sana(kiafya)
na watamteua mwingine.Ungemwona siku za karibuni ungekubali ninachosema.

Si juzi tu katoka ujerumani kufanya sevisi...?
 
Eti [MENTION=19151]wanyoa [MENTION=19151]unga wanaingia ikulu ya bongo...bado tu wanyoa Sembe na wabugia Unga
 
Hizo sevisi zaujerumani hazifui dafu kwenye hicho kinachomsumbua huyu
mheshimiwa.
Kwani anasumbuliwa na nini? basi aende kwa Kuch kuch kule labda itasaidia.... !!
 
Back
Top Bottom