NEWTON vs. EINSTEIN

NEWTON vs. EINSTEIN

hawa ndio binadamu wanaoaminika kuwa na akili nyingi zaidi kuwahi kutokea duniani.
Eisten,E=mc^2 haikuwa mchezo na baadae atomic bomb.
Eisten ndiye mwanasayansi pekee aliyekuja kuhoji usahihi wa Newton's first law of motion,baada ya miaka 200 na kimsingi hoja ya Eisten ilikubalika kuwa law ya motion ya newton haifanyi kazi kwa vitu vyenye kasi karibia na kasi ya miale ya jua lakini baadae jopo la wanasayansi wakapendekeza kuendelea kutumia law ya newton mana hiyo ya eisten haikuwa practical kwa vyombo vyenye kukimbia mana havifikii speed of light.
Nguli newton mwanzilishi wa mordern mechanics na ile topic matata ya calculus na kinachofurahisha zaidi aligundua caliculus akiwa bado mwanafunzi,Newton alileta mapinduzi makubwa katika physics mana calculus ilirahisisha derivation ya formula nyingi na hata zilizokuwa zimeshindikana,yalikuwa mapinduzi makubwa pia upande wa hesabu.
Huyu mwanamahesabu naye alikuwa jabali.
Mimi sijui nani zaidi,japo nimewahi kusoma kuwa Newton ndio huenda the most intelligent.
 
da mie nimesoma hesabu kuanzai Pure enzi zile za O-Level pure Math to A-level kwenye both physics na advanced Math hawa jamaa wote wawili wameonyesha uhodari wao lakini kupata nani mtabe inakuwa ishu coz kila mmoja anaumuhimu wake.......
 
da mie nimesoma hesabu kuanzai Pure enzi zile za O-Level pure Math to A-level kwenye both physics na advanced Math hawa jamaa wote wawili wameonyesha uhodari wao lakini kupata nani mtabe inakuwa ishu coz kila mmoja anaumuhimu wake.......

i do agree with you, ila kuhusu hizo hesabu ulizosoma duh no comment
 
Back
Top Bottom