Newhabari kwachafuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Newhabari kwachafuka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M-bongo, Feb 10, 2011.

 1. M

  M-bongo JF-Expert Member

  #1
  Feb 10, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 338
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Habari za kuaminika zilizonifikia hivi punde kutoka kwenye newsroom ya NewHabari, inasemekana CEO wake Hussein Bashe na Wahariri wa RAI wakiongozwa na Danny Mwakiteleko wamepigiwa simu na kukaripiwa kwa vikali sana na mmiliki wake Rostam na inasemekana kuna kikao leo jioni ambao inaweza kuwa ndiyo mwisho wao wa kibarua chao.

  Mtoa habari anasema inaonekana habari za gazeti la RAI la leo la kutaka kumhusisha Mzee Mengi bila kumtaja na zoezi la kutaka kumngoa JK madarakani ndiyo limezua vurugu kubwa kwani hao wafanyabiashara wawili imethibitshwa kwamba wamepatana na mwanzoni mwa mwaka huu, Rostam alikwenda mahakama kuu akifuatana na Mengi na kumfutia Mengi kesi zake zote na Mengi kufanya vivyo hivyo na wakaweka makubaliano. Yetu macho, tunaendelea kusikilizia.....
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Feb 10, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ......haya tunasubiri matokeo ya hivyo vita
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  Feb 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,357
  Trophy Points: 280
  nilishasemaga siku nyingi kuwa mengi ni fisadi,anapigaga kelele anapokosa dili za kufisidi
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kumng'oa jk madarakani ni ufisadi? Au wafanyabiashara kupatana ni ufisadi?
   
 5. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #5
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tunasubiri tuone kama ni kweli.
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sichangii mpaka nujue ukweli wa habari, maana mtoa mada anaweza kusoma gazeti la Rai na kuleta thread za uchokonoz:coffee:
   
 7. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #7
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mhhhhhhhhhhhhhhhhhhh hiiii hali inatisha sanaaaaaaa.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Feb 10, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,554
  Likes Received: 18,239
  Trophy Points: 280
  Nijuavyo mimi, wengi wa wamiliki wa mlolongo wa media huitwa 'media magnate' wa type kama kina Ted Turner, Sulvio Belussconi, Rupert Murdoch na hawa wa huku kwetu wakiongozwa na mkuu sana. Hawa hutumia media kama vehicles of influence, haiwezi pita kitu yoyote huko bila mmiliki ku ok. Kwa Mtanzania, CEO Bashe ndio RA, haiwezikani mafahali wawili hawa wapatane hala walamba viatu wao wasijue!.

  Kama ni karipiwa wakaripiwe kwa mengine lakini sio kwa hili. Halafu kwa King Maker ninayemjua mimi, too proud to swallow his pride akamyenyekee yule mzee mheshimiwa sana Kama ikulu yote iko mkononi mwake, mkuu wako wa kaya ana nyenyekea kwake, iweje leo akampigie magoti yoyote humu nchini, he is just semi god!. Na mheshimiwa sana pia is too big headed to bow down kwa mafisadi!.

  Hakuna uwezekano wowote wa mafahali hawa wawili kupatana unless both of them are 'men with a mission', na wote wametambua kuwa kamwe they will not accomlish their mission without one onother, hivyo wote wakaresolve ule mtindo wa 'if you can beat them, join them'!
   
 9. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #9
  Feb 10, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hii yote ni danganya toto, kukoroga mambo?
   
 10. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #10
  Feb 10, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  tusubiri tuone..
   
 11. N

  Nsesi JF-Expert Member

  #11
  Feb 10, 2011
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 374
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sijaisoma hiyo habari, lakini sitoshangaa kwani Rai wanatafuta habari za kuwatoa wamekwama, kwa sababu wakati huo huo wanataka wajipendekeze kwa Mkuu wa Kaya. RA kukasirika magazeti yake yakimwandika mzee RM ni kawaida yake kwani anahofu yule mzee atamlipua na yeye kwenye vyombo vyake na mara nyingi mwoga kati yao ni RA.
   
 12. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #12
  Feb 10, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Inawezekana taarifa za RA kupatana na Mengi zikawa za kweli ,kinachonishangaza ni taarifa za gazeti la Rai kupambana na Mwanahalisi linalomilikiwa na Said Kubenea mimi kama Mfanyakazi wa New Habari nasema hapana,Bashe na kubenea ni marafiki wakubwa na wa siku nyingi .Since amekuwa CEO wa New Habari November Mwanzoni Bashe siku zote amekuwa akituhasa sisi wafanyakazi sana sana Wahariri kufuhata Maadili (ethics) za uhariri ,hata leo kwenye postmorterm amekemea kitendo cha Rai kuandika habari bila kupata opinion kutoka upande mwingine ,Though inawezekana Bashe akawa na Interest zake as human being kamwe haijawahi kuhingilia uhuru wa uhandishi Habari ,

  Mgogoro Uliopo ninaohufamu ni kati ya Bashe na Baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali kitengo cha habari kuhusu kulinda Interest za CCM,wanataka kugeuza magazeti ya New habari kuwa kama Gazeti la Chama na Serikali,
   
Loading...