salkam bous
Member
- Oct 3, 2026
- 32
- 48
Wakubwa mimi ni member mpya humu nahitaji ushirikiano wenu kwa sababu mumekuwa mkinishawishi mambo mengi sana na kunifunza na kunipa experiencce mbalimbali ahsanteniii
Kwasababu umejiuliza kuwa amejoin tar 3 Oct. Ila tar 10 ndio anajitambulisha..Karibu dwegana
Kwasabu kuna member kafungua id na kuanza kuombaomba ela bila kujitambulisha,nyuzi zikafutwa kwahiyo naye ana fuata utaratibuKwasababu umejiuliza kuwa amejoin tar 3 Oct. Ila tar 10 ndio anajitambulisha..
Kwahiyo ukafiria kuwa kulikuwa na umuhimu gan wa kufanya utambulisho?.
Alafu Shem wa dunia. juzi juzi tu hapa kuna member mmoja alinitumia picha za wadada wanne wa JF. Kawataja na majina. Na wadada wawili kati yao wako naked (ila sio naked ile ya nude) ila wanaonekana sura na kawataja na majina.Kwasabu kuna member kafungua id na kuanza kuombaomba ela bila kujitambulisha,nyuzi zikafutwa kwahiyo naye ana fuata utaratibu
Siasa na mpira ni vipaumbele vyako?
Karrrlibu sana mkuu...
Hapa the home of Great thinker.... Kikubwa uwe na nidhamu tu! Maana mods wanatoa ban kwa wasio na utarrlatibu...
Karibu dwegana
Tuanze na hiyo memmer, kama ulimaanisha member fanya urekebishe kabla hawajaja.Wakubwa mimi ni memmer mpya humu nahitaji ushirikiano wenu kwa sababu mumekuwa mkinishawishi mambo mengi sana na kunifunza na kunipa experiencce mbalimbali ahsanteniii
Tumekuwa tukikushawishi mambo mengi?Wakubwa mimi ni memmer mpya humu nahitaji ushirikiano wenu kwa sababu mumekuwa mkinishawishi mambo mengi sana na kunifunza na kunipa experiencce mbalimbali ahsanteniii
Tumekuwa tukikushawishi mambo mengi?
Kwa mfano mimi nilikushawishi niniBila shak