Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
Haya ndio madhara ya hawa jamaa zetu Wazungu kujifanya kila mtu na hamsini zake hata kama mnaishi nyumba moja. Jamaa kaoza ndani ya bweni kwa miezi miwili bila Wanafunzi wenzake kufahamu ila harufu ndio ikafanya jirani yake ashtuke.