New video: Rich Mavoko ft Fid Q - Sheri

kidaganda

JF-Expert Member
Aug 26, 2013
2,991
2,564

Tangu aingine wcb naona kaanza kujiamini tena..

Kaimba akiwa free sana japo chorus inafanana na show me aliyoimba na harmonize.

Tumpokee Tena.
 
Kama alishindwa kujiamin
Wakat wa merry me,pacha wang,bas asahau tu kuhusu kujiamin

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Aondoe hicho kipengele cha " Ganja tutachoma" la sivyo wimbo ufungiwe kwa sababu unahamasisha kutenda kosa kubwa lajinai la madawa ya kulevya. Sasa hivi nchi inapambana na madawa ya kulevya inatakiwa watu wote tupinge kwa ngvuvu zote na tumaanishe tunachopmbana nayo. Kuitamka ganja kwenye wimbo wako wakati ganja ni adui namba 1 wa mtanzania ni kwenda kinyume kabisa na maadili ya Mtanzania
 
Du mbona kadri siku zinavyoenda zile radha adimu za wasanii tulizokuwa tumezizoea zinakwisha kabisa?
Huu wimbo ni kama ka copy na ku paste ngoma ya show me kiitikio pamoja na midundo.
 
Aondoe hicho kipengele cha " Ganja tutachoma" la sivyo wimbo ufungiwe kwa sababu unahamasisha kutenda kosa kubwa lajinai la madawa ya kulevya. Sasa hivi nchi inapambana na madawa ya kulevya inatakiwa watu wote tupinge kwa ngvuvu zote na tumaanishe tunachopmbana nayo. Kuitamka ganja kwenye wimbo wako wakati ganja ni adui namba 1 wa mtanzania ni kwenda kinyume kabisa na maadili ya Mtanzania
Kwahiyo wewe hapo ndo umepinga kwa nguvu zote?

A point of correction..ganja sio adui namba moja kwa mtanzania, adui yetu wa kwanza na Fisiem + polifix. Ganja ni rafiki namba moja kwa watanzania wengi kwa sabab wanamtumia kuondoa stress za hao maadui wawili.

Bt wimbo ni mzurii
 
Uyu ndio Richard ninaemfahamu aiseeee kati ya joint kali kutoka katika msimu huu ambao tumeshuhudia nyimbo nyingi mbovu hakika Mavoko amesimama kama kitambo safi sana hii ngoma ina haki ya kuishi kwenye music device yangu na re-play inahusika.
72e97adc4dbb43c193af903323bc644c.jpg
 
Aondoe hicho kipengele cha " Ganja tutachoma" la sivyo wimbo ufungiwe kwa sababu unahamasisha kutenda kosa kubwa lajinai la madawa ya kulevya. Sasa hivi nchi inapambana na madawa ya kulevya inatakiwa watu wote tupinge kwa ngvuvu zote na tumaanishe tunachopmbana nayo. Kuitamka ganja kwenye wimbo wako wakati ganja ni adui namba 1 wa mtanzania ni kwenda kinyume kabisa na maadili ya Mtanzania

"Ganja ni adui namba 1 wa mtanzania" duh bora hata wavuta bangi wanajua angalau adui namba 1 wa Tanzania kuliko wewe usievuta,for the record kaya haina madhara kama sigara na pombe zinazoendesha uchumi wa nchi kama vifo basi pombe na sigara viko juu sana ila kwa kua mmekariri sio mbaya ila ukiambiwa ulete madhara ya bangi hauna.
Legalize it....
 
Yeah hii ngoma dogo kakaza sana naungana na wewe kua toka ajiunge WCB kwa mara ya kwanza amenirudisha kua shabiki wake,ila nahisi hii joint itakua aliifanya kitambo maana na production sio ya yule mwenye midundo yenye matarumbeta mwanzo mwisho.
 
Uyu ndio Richard ninaemfahamu aiseeee kati ya joint kali kutoka katika msimu huu ambao tumeshuhudia nyimbo nyingi mbovu hakika Mavoko amesimama kama kitambo safi sana hii ngoma ina haki ya kuishi kwenye music device yangu na re-play inahusika.
72e97adc4dbb43c193af903323bc644c.jpg
Bado sijafanikiwa kuusikiliza wimbo huu...
Ila kama hadi wewe umeusifia,basi bila shaka wimbo ni mzuri..!
 
Back
Top Bottom