Sio heshima kuwatolea maneno machafu watu waliokusaidia, ni ujingaMaisha bhana.....................NADHAN WENGI WANASUBIRIA KUONA HUYO MTOTO ANAANGUKA NDO WASEME VIZUR.
Mafanikio hayana njia moja,kama msanii X alifanikiwa kupitia clouds basi woooote wapitie hapo?maajabu haya......
And delivered dats why respondedmessage sent
ajinyenyekeze kwa nani.....hao ndio waliompa saut na kipaji? ukizaa mtoto wa kiume mwenye mawazo kama haya ogopa sana cz huko mbele atakuja kujinyenyekeza hata kwa baba mwenye nyumba watu wale mzigo kisa tu kaogopa kulala nje.....kwahyo na wakenya, waganda, wanaijeria hao wote waliofanikiwa walijinyenyekeza mawingu?Nimeisikiliza kiukweli nyimbo ni yakawaida sana huyu binti ilitakiwa ajinyenyekeze kwanza kama wenzake wakina maua sama baadaye akiwa amesha fahamika na kuwa na mashabiki wengi ndio achukue uamuzi mzito Kama aliouchukuwa!
Hapo ndipo panapokuwa na utata,,,,,,inakuaje kama alokusaidia anaweza kukufanyia ndicyosivyo kisa tu AMEKUSAIDIA?msaada usiwe silaha ya kufanya ndivyo sivyo mdau....na pia hakuna alotoka hadharani (si clouds si rubi)ambaye amezungumzia juu ya huo mgogoro........Jambo lingine kwanini clouds imekua ikiingia sana kwenye migogoro na wasanii?Mfano mwaka 2010 ni hao hao ndio walioingia kwenye mgogoro na SUGU,kama mfatiliaji sugu alikuwa akipondwa sana kwenye media ile wakat alipotangaza kugomeba ubunge,na lile jambo lilikua kama limebarikiwa na menejiment maana kama watangazaj hawawez tu kuibuka ghafla na kuanza kufanya wanayoyafanya,ikaja na prof Jay yakajirudia yaleyale...hata awali ngoma yake ya kipi sijaskia haikuwa ikichezwa hadi baadae sana,shida nini?Sio heshima kuwatolea maneno machafu watu waliokusaidia, ni ujinga
Vijana wa humu wa ajabu sana,halafu wengi ndio wanawaza kuwa na mawazo ya kujitegemea.Mi nna kipaji, wewe una media,kila mtu afanye kazi na mwenzie kwa manufaa,sio uninyonye kisa sina platform wakat na wewe unanitegemea mimi.Nadhan bado hawajaelewa kuwa mziki ndio ofisi za watu.Kosa la Rubby hata sijalionaajinyenyekeze kwa nani.....hao ndio waliompa saut na kipaji? ukizaa mtoto wa kiume mwenye mawazo kama haya ogopa sana cz huko mbele atakuja kujinyenyekeza hata kwa baba mwenye nyumba watu wale mzigo kisa tu kaogopa kulala nje.....kwahyo na wakenya, waganda, wanaijeria hao wote waliofanikiwa walijinyenyekeza mawingu?
Hatakama wamekufanyia mabaya, kwani utapungukiwa nini kama ukisepa zako ukakaa kimya huku ukipiga mishe zako? Kwani lazima uwatolee maneno?Hapo ndipo panapokuwa na utata,,,,,,inakuaje kama alokusaidia anaweza kukufanyia ndicyosivyo kisa tu AMEKUSAIDIA?msaada usiwe silaha ya kufanya ndivyo sivyo mdau....na pia hakuna alotoka hadharani (si clouds si rubi)ambaye amezungumzia juu ya huo mgogoro........Jambo lingine kwanini clouds imekua ikiingia sana kwenye migogoro na wasanii?Mfano mwaka 2010 ni hao hao ndio walioingia kwenye mgogoro na SUGU,kama mfatiliaji sugu alikuwa akipondwa sana kwenye media ile wakat alipotangaza kugomeba ubunge,na lile jambo lilikua kama limebarikiwa na menejiment maana kama watangazaj hawawez tu kuibuka ghafla na kuanza kufanya wanayoyafanya,ikaja na prof Jay yakajirudia yaleyale...hata awali ngoma yake ya kipi sijaskia haikuwa ikichezwa hadi baadae sana,shida nini?
Mjadala umeishia hapo nilipo highlight.Hatakama wamekufanyia mabaya, kwani utapungukiwa nini kama ukisepa zako ukakaa kimya huku ukipiga mishe zako? Kwani lazima uwatolee maneno?
STUNTER Msome mrsleo hapa ametoa mchango usio biased,yaani huyu ndo anajua kinachoendelea.ok, kwa swala la uwimbo kweli hamna jipya ni kelele tu, yani sio uwimbo wa kuusikiliza mara mbili, me hata hiyo mara moja tu nimeshindwa kuumaliza maana naona anapayuka tu na beat hata sijaielewa, lakini kwa swala la kipaji kweli anacho, sio tu kwa ule uwimbo wa kwanza hata ule wa pili unaitwa Forever pia ni mzuri sana, huu naona kachemesha kwasababu aliwakamia watu fulani basi kaishia kuimba alimradi. Na kuhusu clouds jamani we all know kwamba hiyo redio huwa inalalamikiwa sana na wasanii wengine hawaongei tu kwasababu ya kuogopa kupotezwa lakini siku ikitokea wakapata uhuru wa kila msanii kujieleza sidhani kama kuna msanii ataibakiza hiyo redio, ila tu ruby nafikiri angejitoa kimya kimya angeachana na hii ligi aliyoianzisha manake hata sijui mwisho wake ni nini, jd mwenyewe alijishusha saaana mpaka kufikia kupata uwezo wa kusema enough is enough alikuwa tayari yuko mbali na ameweza kusimama mwenyewe. Kuhusu nyodo nazani ni asili yake mana watu washamsema sana tena baada tu ya kutoa ile single yake ya kwanza ika hit baasi akafungua makucha. All in all i wish her all the best of luck kwasababu naamini ni msanii mzuri saana
Tatizo la huyu mtoto ni kwamba wimbo wake wa kwanza ulikuwa mkubwa sana, hatakaa afike ile level ya ule wimbo.